Mbona siyo mara ya kwanza ninyi kutabiri hivyo. Mlianza siku nyingi sana! Alipoingia tu huyo Mwendazake akaapa kuufuta kabisa upinzani. Badala yake kafutika yeye. Na wewe waweza futika kwenye uso wa dunia na kuiacha Chadema ikiendelea kuwepo. Chunga ulimi, na Jiwe naye alijifanya mwamba akaishia hospitali ya vichochoroni huko siju MzenaNakuhakikishia kuwa 2025 tutaidelete kabisa CHADEMA haitakuwepo maana kimekuwa kikundi cha kigaidi kabisa