Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Nakuhakikishia kuwa 2025 tutaidelete kabisa CHADEMA haitakuwepo maana kimekuwa kikundi cha kigaidi kabisa
Mbona siyo mara ya kwanza ninyi kutabiri hivyo. Mlianza siku nyingi sana! Alipoingia tu huyo Mwendazake akaapa kuufuta kabisa upinzani. Badala yake kafutika yeye. Na wewe waweza futika kwenye uso wa dunia na kuiacha Chadema ikiendelea kuwepo. Chunga ulimi, na Jiwe naye alijifanya mwamba akaishia hospitali ya vichochoroni huko siju Mzena
 
Bwashekhee hii kitu Ya kuita watu wa kanda ya ziwa SUKUMA GANG imewaingia haswaaaa wakazi wenyewe na wanaumia vibaya mno na imewafanya wajitambue Zaid kua wanatengwa kwa Kabila lao.

Kabila kama la wasukuma na ndugu zao wa kanda ya ziwa si wanyonge kihivyo,Hata uwingi wao unasadifu sana kia wao ni jamii ya watu wasiopuuzika pindi wakibaguliwa kikabila.
Viongozi wa hizi kampeni ni;

CHADEMA
BAVICHA
MSOGA TROOPS wakiongozwa na kina nape,Ridhiwani na Makamba
WATUMISHI WAZEMBE NA WEZI
NA WACHAGA WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO MBOWE.
 
Huyu JIWE alizidi kuwa na Roho mbaya ya kupindukia. Ametufanya tuwaone wasukuma ni kama mashetani fulani hivi.
Wakati mwingine ni msimamo tu unaotafsiriwa kuwa ni roho mbaya.

Hakutaka kuyumbishwa na mitazamo tofauti ya watu. Nchi hii kila mtu anajua kila kitu na anajiona anayo haki ya kusikilizwa.
 
Bwashekhee hii kitu Ya kuita watu wa kanda ya ziwa SUKUMA GANG imewaingia haswaaaa wakazi wenyewe na wanaumia vibaya mno na imewafanya wajitambue Zaid kua wanatengwa kwa Kabila lao.

Kabila kama la wasukuma na ndugu zao wa kanda ya ziwa si wanyonge kihivyo,Hata uwingi wao unasadifu sana kia wao ni jamii ya watu wasiopuuzika pindi wakibaguliwa kikabila.
Viongozi wa hizi kampeni ni;

CHADEMA
BAVICHA
MSOGA TROOPS wakiongozwa na kina nape,Ridhiwani na Makamba
WATUMISHI WAZEMBE NA WEZI
NA WACHAGA WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO MBOWE.
Asante mkuu kwa kuwakilisha maoni yako kwa uwazi.

Kuna watu wanadhani maoni yao ndio yenye kuwakilisha Tanzania yaani nchi hii bila ya vionjo vyao kupewa kipaumbele basi haijakamilika.

Uliowataja ndio wahusika haswa wa hilo neno sukuma gang.
 
Sukuma gang ndio nini kwani kwa tafsiri rasmi?

Kikundi alichokihasisi Magufuli ambacho kazi yake kubwa ilikuwa kulinda maslahi ya utawala wa mwendazake kwa gharama yoyote ikiwemo kuondoa au kupora haki ya kuishi.

Refer zaga la Tundu Lissu & Saanane
 
Wakati mwingine ni msimamo tu unaotafsiriwa kuwa ni roho mbaya.

Hakutaka kuyumbishwa na mitazamo tofauti ya watu. Nchi hii kila mtu anajua kila kitu na anajiona anayo haki ya kusikilizwa.
Angalia sasa watu wanataka kutoana macho huko Chato na Geita wakipinga kuanzishwa mkoa wa Chato. Badala ya wazo hilo kuwa la serikali likabaki kuwa la mtu binafsi na kaondoka na kuacha sokomoko
 
Kwanza kabisa Kwa CCM navyoijua, wao watayachukua haya maneno 2025 na kuwaambia wasukuma kwenye campeni zake kuwa, tulipompa nchi mwenzetu msukuma jembe, tingatinga, wakaanza kuwaita Sukuma gang, mtawapaje Kura hawa wapinzani wabaguzi??

Jina hili la Sukuma gang, najua hata wa CCM Baadhi wanalitumia, lakini 2025 litakuwa mtaji wao, na kiukweli wapinzani wanaweza kupata tabu Sana,

Mimi ni mchaga, lkn kiukweli hili jina Sukuma gang, naliogopa linaweza kuleta shida badaye, na likiendelea, Mungu akituweka hai, nitakuwa wa Kwanza kuwauliza maswali wapinzani kwenye Kampeni zao huko mikoa ya ziwa kuhusu jina hili la kichochezi,hivi Kwa mfano, msukuma atampaje Kura mpinzani ili Hali mpinzani hataki Kumuona msukuma Mbele yake?
 
Waache walitumie hadi 2025 tutaona matokeo yake.
Wao hawajui ina waumiza sana wasukuma wenye mapenzi mema na rais pamoja na nchi yao.
kuendelea kuacha neno kutumika na viongozi waliopo madarakani kuona ni sawa,hii inafanya wasukuma wafikiri wao hawatakiwi kwenye hii serikali ya sasa ya CCM.
akitokea mtu mjuaji wa kuwasemea hawa wasukuma wanao zodolewa kila kona,majibu yatapatikana 2025.
Nani asiye jua kashifa zote huanza upya uchaguzi ukikaribia.
Nakumbuka JK aliwahi tamka kura za wafanyakazi zisinge mbabaisha maana walikuwa hawazidi laki tatu.
Alichokutana nacho wakati wa uchaguzi wote ni mashahidi.
Wanao shauri mambo ya kukosoa serikali ili ijirekebisha wanaitwa sukuma gang.
Twendeni hivyo hivyo tutaelewana huko mbele,kama hayupo wa kuwasemea wasukuma sasa hapana shaka 2025 wanajua pa kutolea duku duku lao
 
Ikitoka sukuma gang watahamia udini hapo ndo utasikia rais dini gani,waziri mkuu dini,mwana sheria mkuu dini gani,makamu wa rais dini gani.
wawaache tu waendelea maana neno hili lina burudisha nafsi zao.
Hizi element zilianza tangu awamu iliyopita hazikukemewa badala yake watu walianza kuzisifu na sasa madhara yake yameanza kuonekana
 
Bwashekhee hii kitu Ya kuita watu wa kanda ya ziwa SUKUMA GANG imewaingia haswaaaa wakazi wenyewe na wanaumia vibaya mno na imewafanya wajitambue Zaid kua wanatengwa kwa Kabila lao.

Kabila kama la wasukuma na ndugu zao wa kanda ya ziwa si wanyonge kihivyo,Hata uwingi wao unasadifu sana kia wao ni jamii ya watu wasiopuuzika pindi wakibaguliwa kikabila.
Viongozi wa hizi kampeni ni;

CHADEMA
BAVICHA
MSOGA TROOPS wakiongozwa na kina nape,Ridhiwani na Makamba
WATUMISHI WAZEMBE NA WEZI
NA WACHAGA WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO MBOWE.
Wanataka wamharibie mama Kwa chuki zao kwa wasukuma.
 
Hizi element zilianza tangu awamu iliyopita hazikukemewa badala yake watu walianza kuzisifu na sasa madhara yake yameanza kuonekana
Hebu nipe mfano ambapo kabila fulani lilishambuliwa ndo waliokuwa wakimkwamisha mwendezake?
siku zote chuki yake ilikuwa ni majizi si kabila.
 
Hebu nipe mfano ambapo kabila fulani lilishambuliwa ndo waliokuwa wakimkwamisha mwendezake?
siku zote chuki yake ilikuwa ni majizi si kabila.
Ni muhimu sana kuelewa hisia na fikra za wananchi ili kujenga umoja, mbali na hivyo tutaendelea kuona mgawanyiko ambao hautatibika kirahisi

Tanzania ni nchi moja bila kujali ukanda wala ukabila, suala la majizi nadhani kuna mamlaka husika zinashughulikia na sio sahihi kila mtu anapoeleza hisia zake kuitwa jizi au ana chuki, hayo ni baadhi ya maneno yaliyochochea mgawanyiko na ni vizuri tukachunga kile tunachozungumza mbele ya wananchi
 
Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wake
Huyu wa CHADEMA kajimaliza baada ya kufitinisha Wachaga na Wasukuma.
Ambacho asicho jua Mbowe,Mwendazake pamoja na mapungufu yake,Usukumani anaonekana ni shujaa na walimpenda sana.
ukimsema vibaya tayari umesha gombana na wasukuma. Kwa vile wasukuma si wasemaji sana watakukenulia meno yao ila wana lao jambo.
Alishindwa kujua waliomchagua Wenje na yule mchaga mwenzie 2010 kuwa wabunge Jijini Mwanza ni wasukuma haohao.
 
Ni muhimu sana kuelewa hisia na fikra za wananchi ili kujenga umoja, mbali na hivyo tutaendelea kuona mgawanyiko ambao hautatibika kirahisi

Tanzania ni nchi moja bila kujali ukanda wala ukabila, suala la majizi nadhani kuna mamlaka husika zinashughulikia na sio sahihi kila mtu anapoeleza hisia zake kuitwa jizi au ana chuki, hayo ni baadhi ya maneno yaliyochochea mgawanyiko na ni vizuri tukachunga kile tunachozungumza mbele ya wananchi
Ni nani aliitwa jizi kwa kueleza tu hisia zake? Magufuli hakucheka na wezi hata wa kabila lake nani asiyejua ni wakati wa utawala wake, Robart Kisena wa mabasi ya mwendokasi alimweka ndani,ili hali wakati wa JK alikuwa akitamba,aliwahi kumkata ngwala OCD wa Maswa na akaendelea kudunda.
 
yaweza kuwa ww ni jambazi

Magufuli ni shujaa wetu wewe tapeli acha unonko
Magufuli alikuwa ni Mrundi anayeongea KISUKUMA. Sidhani Kama wazee kama akina Andrew Chenge, John Cheyo au Anthony Diallo wanamkubali kama ni mwenzao
 
Magufuli alikuwa ni Mrundi anayeongea KISUKUMA. Sidhani Kama wazee kama akina Andrew Chenge, John Cheyo au Anthony Diallo wanamkubali kama ni mwenzao
Nyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya Taifa
 
Nyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya Taifa
Mimi siyo Mchagga na wala siendekezi ukabila. Mambo ya ukabila aliendekeza huyo mshamba aliyekufa kwa COVID 19.

Maana Mwendazake hata kwenye majukwaa alikuwa anaongea KISUKUMA
 
Back
Top Bottom