Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona

Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!

Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..

Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!

Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu

Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana

Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Namuombea afe haraka
 
Mnamchulia tu nyinyi kwa chuki zenu ma mtakufa nyinyi na mtamuacha. Wewe unasema umeambiwa na waliokuwa kkngamano kuwa amechoka na ulivyo bwege una amini. Achoke yeye lakini uchungu upate wewe. Hebu kama wewe ni mwanaume tafuta kingine cha kufanya, majungu achia wanawake

Angekuwa amechoka ange DELEGATE kwa PM au VP au yeyote.
Chawa ya tano hii nayo ndio imekurupuka kumeshakucha! Kwani kuna mtu katajwa kwa jina hapa ama mnajistukia tuu
 
Aibu sana !! Kutwa kuandika nyuzi za kuwachulia watu, kwani huna kazi ya kufanya.

Hata wewe ni CHAWA wa Tundu, kwani shida iko wapi. Manyumbu mmekamatika lwenye korodani mwaka huu
Screenshot_20250512_090706_Google.jpg
 
Akipumzika/pumzishwa sisi machawa tutakula wapi?

Tuoneeni huruma akina Steve ake pamoja na Mkwe mwenye kifua kipana

Na ile program ya kumweka mtoto pendwa unadhani si ndiyo itakufa 😅
 
Lile ni jabali la siasa chafu katika nchi ya Burundi huku niliko. halitishwi wala kucheka na yeyote.
 
CCM Bado sana mpaka nchi imwage damu hii ndio reforms zitafanyika.
 
Mnamchulia tu nyinyi kwa chuki zenu ma mtakufa nyinyi na mtamuacha. Wewe unasema umeambiwa na waliokuwa kkngamano kuwa amechoka na ulivyo bwege una amini. Achoke yeye lakini uchungu upate wewe. Hebu kama wewe ni mwanaume tafuta kingine cha kufanya, majungu achia wanawake

Angekuwa amechoka ange DELEGATE kwa PM au VP au yeyote.
Povu kama lote mfadhili ameguswa,uchawa ni janga lingine la kitaifa.
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Huu uzi umekaa kiumbea sana
Wanatapatapa sana, Kila dakika ni Uzi wa umbea na Dua mbaya. Mama anawapiga za uso Kila siku lakini hata hawakomi. Na hili tena, Mungu atawaumbua kama alivyowaumbua mara zote tangu huyu mama aingie.
 
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona

Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!

Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..

Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!

Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu

Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana

Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Huu ndiyo ukweli,nyepesi nyepesi nasikia mh mstafu ndiyo anamtoa moyo kuendelea kuwepo pale
 
Sema tu wahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Ukiwanyima/ukiwazibia ulaji wao, wanakupoteza! Ukiwaruhusu, wanakuteka na kukugeuza kuwa picha tu ya ukutani.
Wakati JPM anawaambia mngoje kwanza ana pambana na maadui wakubwa mlimpinga na kuwatetea wahuni mkisema jpm ana wapora mali zao ...njia moja wapo ya kuwa vunja nguvu wahuni ni kubomoa ukwasi wao maana kwa huo wanafanikisha mambo yao maovu kwa taifa ...niliwadharau sana chadema kwa kumponda Jpm ambaye adui yake mkuu alikuwa ni ccm na wana ccm wenzake
 
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona

Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!

Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..

Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!

Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu

Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana

Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Maria Sarungi anaona jitihada yako kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom