Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

Kijana wetu sasa yuko Uenezi ni full Bando

Navalonge swela 🙏🙏🙏😄
IMG-20250824-WA0006.jpg
 
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona

Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!

Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..

Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!

Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu

Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana

Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Unanikumbusha kuhusu ubaya ubwela
 
Mnamchulia tu nyinyi kwa chuki zenu ma mtakufa nyinyi na mtamuacha. Wewe unasema umeambiwa na waliokuwa kkngamano kuwa amechoka na ulivyo bwege una amini. Achoke yeye lakini uchungu upate wewe. Hebu kama wewe ni mwanaume tafuta kingine cha kufanya, majungu achia wanawake

Angekuwa amechoka ange DELEGATE kwa PM au VP au yeyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom