EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,187
- 20,640
Pamoja na hayo yote ukumbuke tu kwamba hana aibu
Wanasubr mkono ukaatike wale. NyamaEndeleeni kujifariji, ila mwenzenu amejipanga
Na wewe ni kinyeoSlow Slow ni mkundugu.
Kisha wale wa mujini wamupachike mutu wao mwingine ??! Au vepe. ???! 😳 !😳Apumzishwe .. !!
Wapinzani wapo lakini sasa mmewaweka jela Mtoe Lisu jela uone upinzani wa ukweliCcm is there forever Mpaka wapatikane wapinzani ambao hawapo katika Payroll ya Ccm na sio hawa akina naninalii
Kiumbea??Huu uzi umekaa kiumbea sana
Wananchi hufanya kazi nzuri kuwapigia kura wapinzani lakini Tume ya uchaguzi huiba kura zao na kuwanyima uhuru wa kuchaguaAlipatikana mmoja amepigwa pini, wananchi wenyewe ndio wanatakiwa waonyeshe msimamo
Safari hii lazima azimie kwa Pressure maana Nyerere alisema wapinzani wa kweli watatoka ccmLeo Gwajima kesho Mpina muwe erna MB za kutosha 😂😂
October ✔️
Hali ni tete kichwa kinawaka moto vibayaKwa mziki huu October hafiki, naiona parapanda kabisa.
Manyumbu ni ccm kwa moja ya unyumbu ni kukosa ujasiri kutojiamini kufanya siasa safi, mmekalia kuwaonea kuwanyanyasa kuwatesa kuwafanyia kila baya chadema kama ccm mnadai mna watu wengi kwa nini mnakalia kuwatesa chadema? Mmekuwa watu wa kesi kesi kutumia vyombo vya Dola kutawala kimabavu kama enzi za makaburu wa Africa kusiniAibu sana !! Kutwa kuandika nyuzi za kuwachulia watu, kwani huna kazi ya kufanya.
Hata wewe ni CHAWA wa Tundu, kwani shida iko wapi. Manyumbu mmekamatika lwenye korodani mwaka huu
View attachment 3452195
Wanamtokea usoni kila akisinzia tuDamu za akina Ali Kibao, Mdude, Soka na wenzake ndiyo zinamtesa kila akifumba macho anawaona miili yao ikiwa imetapakaa damu ndiyo maana anapiga sana ulabu .
Paskal mayala akiona Uzi huu atazimia maana mchana usiku anasaka UteuziIngawa sifaham anayezungumzwa lakini nashauri apumzishwe mazima haraka iwezekanavyo
Watu hawataki uonevu wa ccm wanataka HakiMisa ya jana St Peter, mwisho WA Misa ya kuombea Aman na Haki, ilipigwa wimbo WA taifa, nyuso za waumini zilibeba ujumbe mzito sana
Kwa mtazamo wako sawa ila kwa mana halisi ya uchaguzi ni kuwa hakuna uchaguzi kinachokwenda kufanyika October ni kiini macho kwani hadi sasa matokeo tayari yako kwenye servers za INEC wanasubiri kuyatangaza tu.
Anacho kiburi chake mwenyewe akidhani kuwa Bora kuliko wanawake wote,wamemtisha kiasi kwamba sasa anaendeshwa kama Mkokoteni na hawampi nafasi ya kutafakari ndiyo maana unaona shughuli baada ya nyingine.Atakuwa anaishi saloon, dressing table na kwenye podiums.Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!
Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..
Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!
Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu
Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana
Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Hivi anapataga utulivu hata wa kumpa yule mzee haki yake?Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!
Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..
Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!
Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu
Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana
Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Kwa hiyo unakubali kuwa hakuna uchaguzi bali kuna igizo la uchaguzihata 2020 ilikua ni hivohivo
Yule mzee ana kisukari na kiharusi ila kuna ntu anatoa assist.Hivi anapataga utulivu hata wa kumpa yule mzee haki yake?