jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,022
- 10,693
Totally...Seems like you are compromised.
Totally...Seems like you are compromised.
Kwani anaumwa?October hafiki huyu Mola atatuamulia huu ugomvi.
Mi nimeona Trump pia chali tumwombee kavimba miguuOctober hafiki huyu Mola atatuamulia huu ugomvi.
Damu za akina Ali Kibao, Mdude, Soka na wenzake ndiyo zinamtesa kila akifumba macho anawaona miili yao ikiwa imetapakaa damu ndiyo maana anapiga sana ulabu .Kwani anaumwa?
We bwege uso wa mamako una nuru? Apumzike ili aingie mamako? Acha siasa za kishamba, madaraka huletewi nyumbani unayatafuta. Hv mbwa km ww unahangaika na mkuu wa nchi unajitambua kweli we bwege?Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!
Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..
Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!
Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu
Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana
Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Kuliko alivyojipanga JPM?Endeleeni kujifariji, ila mwenzenu amejipanga
Ndo maana hukuwaona kwaanzia page 1 -10 za nyuzi za polepole usiku. Yalipoamka Tu saa 12 yakaanza.Chawa nyingine hii nayo ndio inaamka! 😂
Yule anaonekana haimsumbui, inaonekana ni mzoefu wa mambo hayo ya u vampire, hata kabla ya kuwa kitiniDamu za akina Ali Kibao, Mdude, Soka na wenzake ndiyo zinamtesa kila akifumba macho anawaona miili yao ikiwa imetapakaa damu ndiyo maana anapiga sana ulabu .
Wahuni bado wanamhitaji sana ili wafanikishe uhuni waoWaliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!
Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..
Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!
Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu
Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana
Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164
Wewe umewasikia wapi na lini hao vijana wakisema kuwa tatizo la nchi ni Samia?hivi vijana wa chadema munahisi Tatizo la hii nchi ni Samia ama? kwamba akiondoka yeye hali itabadilika? Munajidanganya sana
Wewe umewasikia wapi na lini hao vijana wakisema kuwa tatizo la nchi ni Samia?
Umeelewa vibaya, vijana wa Chadema na wapenda nchi wanataka mabadiliko ya kimfumo ndiyo maana wanalilia Katiba mpya, kumtaja Samia ni kwa vile ndiye Rais na mwenyekiti wa CCM Chama kinachounda Serikali.wao ndio wanaongozaa kulialia aachie aachie, maana yake nini?
Umeelewa vibaya, vijana wa Chadema na wapenda nchi wanataka mabadiliko ya kimfumo ndiyo maana wanalilia Katiba mpya, kumtaja Samia ni kwa vile ndiye Rais na mwenyekiti wa CCM Chama kinachounda Serikali.
Mleta mada hajajitambulisha kama ni kijana wa Chadema. Chadema wanaelewa kuwa CCM hawawezi kuleta mabadiliko bila kuwekewa shinikizo ndiyo maana wamekuja na NRNE ambayo imepokelewa vema na wananchi hadi CCM ikaamua kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuizuia Chadema isifanye kabisa shughuli za kisiasa nchini, huu mpambano bado unaendelea na hautaisha hadi uishe.na mada ya mleta mada ina lenga nini?
Na tunatakiwa tuelewe, CCM hawawezi kuleta mabadiliko ya kimfumo kwa huruma kama chadema wanavyofanya sasa hivi. CCM sio viumbe wepewepesi ni mashetani hasa.
Mleta mada hajajitambulisha kama ni kijana wa Chadema. Chadema wanaelewa kuwa CCM hawawezi kuleta mabadiliko bila kuwekewa shinikizo ndiyo maana wamekuja na NRNE ambayo imepokelewa vema na wananchi hadi CCM ikaamua kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuizuia Chadema isifanye kabisa shughuli za kisiasa nchini, huu mpambano bado unaendelea na hautaisha hadi uishe.