Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

Mit 17
  1. Afadhali mego kavu pamoja na utulivu,
    kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.
  2. Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu;
    tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu.
  3. Kalibuni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu;
    bali BWANA huijaribu mioyo.
  4. Mtenda mabaya husikiliza midomo ya uovu;
    na mwongo hutega sikio lake kusikiliza ulimi wa madhara.
  5. Amdhihakiye maskini humsuta Muumba wake;
    naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.
  6. Wana wa wana ndiyo taji ya wazee,
    na utukufu wa watoto ni baba zao.
  7. Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu;
    siuze midomo ya uongo kinywani mwa mkuu.
  8. Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho;
    kila kigeukapo hufanikiwa.
  9. Afunikaye kosa hutafuta kupendwa;
    bali yeye akashifuye neno hutenga rafiki.
  10. Lawama hupenya moyoni mwa mwenye ufahamu,
    kuliko mapigo mia moyoni mwa mpumbavu.
  11. Mtu mwovu hataki neno ila kuasi tu;
    kwa hiyo mjumbe mkali atatumwa kwake.
  12. Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang’anywa watoto wake,
    kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.
  13. Yeye arudishaye mabaya badala ya mema,
    mabaya hayataondoka nyumbani mwake.
  14. Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji;
    basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
  15. Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki,
    naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki;
    hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.
  16. Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima,
    ikiwa hana moyo wa ufahamu?
  17. Rafiki hupenda sikuzote;
    na ndugu amezaliwa kwa siku ya taabu.
  18. Aliyepungukiwa na akili hupana mkono na mtu,
    na kuwa mdhamini mbele ya mwenzake.
  19. Apendaye ugomvi hupenda dhambi;
    auinuaye sana mlango wake hutafuta uharibifu.
  20. Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema;
    na mwenye ulimi wa upotofu huanguka katika misiba.
  21. Azaaye mpumbavu ni kwa huzuni yake mwenyewe;
    wala baba wa mpumbavu hana furaha.
  22. Moyo uliochangamka ni dawa nzuri;
    bali roho iliyopondeka huikausha mifupa.
  23. Asiye haki hutoa rushwa kifuani,
    ili kuzipotosha njia za hukumu.
  24. Hekima huwa machoni pake mwenye ufahamu;
    bali macho ya mpumbavu huwa katika ncha za dunia.
  25. Mwana mpumbavu ni huzuni kwa babaye,
    na uchungu kwa mamaye aliyemzaa.
  26. Tena kumwadhibu mwenye haki si vizuri;
    wala si kwema kuwapiga wakuu kwa unyofu wao.
  27. Azuiaye maneno yake ni mwenye maarifa;
    na mwenye roho ya utulivu ana busara.
  28. Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;
    akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
Kibarua wa Komredi Polepole hujambo? 😂
IMG-20250823-WA0126.jpg
 
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona

Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama midomo ya wengine! Macho ya wengine! Vidole vya wengine...!
Wakinyanyua vinywa hata kama hawakusemi wewe tayari kuna matamshi yanajiumba na kudhani yamekulenga wewe. Unajikuta unakosa raha!

Macho! Hakuna taa ina mwanga mkali kuzidi macho! Yakikuangalia utadhani yanakuona mpaka rohoni... Utadhani yana x-ray.. Halafu yanasengenya vibaya Sana!
Yanakusema
Yanakuonya
Yanakuhukumu
Yanakukebehi
Yanakufanyia kila aina ya michezo hasa ukiwa mbele ya kadamnasi..

Vidole: havina midomo wale macho lakini vina ishara! Mdomo ukisema, macho yakikuangalia unapata hisia na vidole vinakunyooshea
Unajikuta unakosa amani, unakosa furaha unakosa confidence.. Kwakuwa unadhani kuna walio nyuma yako wanakunyooshea vidole!

Hapa tulipofika! Haina comeback! Maana
Midomo inayocheza cheza inazidi kuongezeka kila uchao.
Macho yanazidi kupata nuru
Vidole vinazidi kuwa virefu

Ni tafrani kila kona! Huna muda wa kuchill tena wala kutabasamu.. Si mitandaoni si vijiweni si mafichoni.. Hata kama huwasikii na kuwaona lakini kina hisia zinakuambia kwamba wanakusema
Msaidieni apumzike kwa amani.. Ameshatukanwa mpaka matusi ambayo haya andikiki.. Ameshapewa kejeli za kila aina! Dhihaka na hata tuhuma zenye ithibati
Kama binadamu mwenye hisia
Kama binadamu mwenye familia
Kama binadamu mwenye ndugu jamaa na marafiki haya mambo yanaumiza Sana

Msaidieni apumzike.. Apumzishe hisia
Naye anahitaji faraja
Naye anahitaji heshima
Naye anahitaji kutambuliwa utu wake
Lakini je naye kayafanya haya kwa wengine!? Kwakuwa ukitenda wema utalipwa na ukitenda ubaya utalipwa ubaya!
Karma is bitch! Huwezi Ku panda ukwaju ukategemea kuvuna bangiView attachment 3452164

Maza anatafanya kila liwezekanalo ashinde. Nina uhakika baada ya uchaguzi atakuja na some sort of Reforms.
 
Ccm is there forever Mpaka wapatikane wapinzani ambao hawapo katika Payroll ya Ccm na sio hawa akina naninalii
nawe yanakuhusu kuwa mpinzani wa kweli. nani kama siyo wewe na mimi? Unamtegemea nani? You are part and parcel of the responsibility
 
kwa maoni yangu huyo mchizi anatumika tu kama daraja au kiungo kati ya mnyonyaji na mnyonywaji lkn hana power (absolute) kiiivyo, wanao pull strings hamuwasikii, mnaweza hata kushangaa hata huo utajili wake (wa wizi ofcourse) siajabu siyo mkubwa kama vile wale anaowawezesha kutuibia.

anatumika tu ...
 
Mit 17
1Afadhali mego kavu pamoja na utulivu,
Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.
2Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu;
Tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu.
3 Kalibuni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu;
Bali BWANA huijaribu mioyo.
4Mtenda mabaya husikiliza midomo ya uovu;
Na mwongo hutega sikio lake kusikiliza ulimi wa madhara.
5 Amdhihakiye maskini humsuta Muumba wake;
Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.
6Wana wa wana ndio taji ya wazee,
Na utukufu wa watoto ni baba zao.
7Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu;
Siuze midomo ya uongo kinywani mwa mkuu.
8 Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho;
Kila kigeukapo hufanikiwa.
9Afunikaye kosa hutafuta kupendwa;
Bali yeye akashifuye neno hutenga rafiki.
10Lawama hupenya moyoni mwa mwenye ufahamu,
Kuliko mapigo mia moyoni mwa mpumbavu.
11Mtu mwovu hataki neno ila kuasi tu;
Kwa hiyo mjumbe mkali atatumwa kwake.
12Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang’anywa watoto wake,
Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.
13 Yeye arudishaye mabaya badala ya mema,
Mabaya hayataondoka nyumbani mwake.
14 Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji;
Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
15 Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki;
naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki;
Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.
16Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima,
Ikiwa hana moyo wa ufahamu?
17Rafiki hupenda sikuzote;
Na ndugu amezaliwa kwa siku ya taabu.
18Aliyepungukiwa na akili hupana mkono na mtu;
Na kuwa mdhamini mbele ya mwenzake.
19Apendaye ugomvi hupenda dhambi;
Auinuaye sana mlango wake hutafuta uharibifu.
20Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema;
Na mwenye ulimi wa upotofu huanguka katika misiba.
21Azaaye mpumbavu ni kwa huzuni yake mwenyewe;
Wala baba wa mpumbavu hana furaha.
22Moyo uliochangamka ni dawa nzuri;
Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa.
23 Asiye haki hutoa rushwa kifuani,
Ili kuzipotosha njia za hukumu.
24 Hekima huwa machoni pake mwenye ufahamu;
Bali macho ya mpumbavu huwa katika ncha za dunia.
25Mwana mpumbavu ni huzuni kwa babaye,
Na uchungu kwa mamaye aliyemzaa.
26Tena kumwadhibu mwenye haki si vizuri;
Wala si kwema kuwapiga wakuu kwa unyofu wao.
27 Azuiaye maneno yake ni mwenye maarifa;
Na mwenye roho ya utulivu ana busara.
28Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;
Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.....

View attachment 3452181
Leo Gwajima kesho Mpina muwe erna MB za kutosha 😂😂

October ✔️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom