Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,802
- 5,403
Unaweza kufanya rooting?Log files napata wapi? Maana caches zoote nimefuta
Unaweza kufanya rooting?Log files napata wapi? Maana caches zoote nimefuta
Nimesha download upya nikaad account ila bado hali ni ile ileKama simu Yako ina sapot Dual apps download another Whatsapp file Toka play store Kisha unganisha kwa namba nyingine tofauti na Ile ya awali ambayo ime zuiliwa karibu hili Kisha leta mrejesho.
Huwezi fikia logs files bila rootingHapana mbona tena?
Hapa tutahangaika sana na uvivu huu wa kuandika, tumia Chatgpt kumuuliza jinsi ya kuyafikia na kufuta atakueleza vizuriDuuh aisee nipe mwongozo...
Hizo files ndiyo za ile App bado zimebaki humoAhaa OK
Unahisi kweli issue itakuwa hiyo sio!
Huawei bado zipo?Natumia Huawei haisuoport playstore huwa natolea apk pure
Labda mimi ni mshamba!Shenz zako brand kubwa hiyoo na Zina authentication kali sana kupita android na Ios za apple.
Acha ubahili, nunua simuKwani uongo!!!
Huawei anatumia EMUI ni mfumo mgumu sana na apps za playstore hazisomi
Sawa mkuuBaada ya miez mitatu hio Namba itarudi tena kutumika WhatsApp mie nishafungiwa sanaa kulingana na shughuli zangu hio ni hali ya kawaida Sana na ukiendelea kulazimisha hivyo haitoruidi mazima tafuta Namba nyingine Kuta unatumia baada ya miez mitatu inakaa sawa unarudi kwenye Namba yako
Kuna vitu utakua umefanya ndio maana wamekufungia hasa kama unafanya spam unaada watu wengi manually kwenye group unatuma message kibao kwenye magroup n.k