Hatimae nami nmepata passport baada ya kusubiri takriban week 4 bila kuwa na usumbufu wowote. Nashauri kama unapango wa kusafiri apo baadae ni vyema ukaomba mapema kuepusha rushwa zilizokuwa na ulazima.
Passport ni haki ya kila mtanzania.View attachment 2061989
Mkuu naomba mwongozo wako ninafanya maombi ya passport pia lakini kipengele cha uthibitisho wa safari bado sijakielewa maana nimejaza tu lakini sijajua nikiprint watanitaka niambanishe huo mwaliko au inakuwaje?
 
Inategemea mkuu kama unavigezo vyote unapata mana hawaangali sura bali vigezo kama umetimiza, cha muhimu unatakiwa kuomba mapema
mkuu naomba tushirikishane uzoefu,.ni kweli kuwa mashahidi niliowaweka lazima wakasaini?je ni sahihi hizo printed out forms ziende kwa mwanasheria akazipitishe tena?nimeona mdau hapo juu aliandika., details zingine zote ninazo nilishajaza bado kulipia elfu 20 ili nitoe hizo hard copy,nimesita kulipia kwanza maana bado sijapata hiyo invitation letter.
 
Msaada kwa mtu anayeweza kunielekeza namna ya kupata visa ya norway.
Nimetumiwa invitation letter ambapo mwenyeji wangu ataghatamia kila kitu ila sina evidence inayoonyesha nitarudi Tanzania baada ya miezi mi3
 
Nina shida sana na passport, please kama Kuna mtu anaweza kunisaidia kuipata Kwa haraka mda usiozidi mwezi mmoja na nusu nitampa kiasi cha laki moja nje ya gharama za passport ambazo ni laki na nusu

Nimehangaika sana, Nina vigezo vyote ila sijui kwann wananizungusha, tangu mwaka Jana mwezi wa kumi mpaka saizi Hakuna hata dalili, yani Hawa watu wa immigration hawafai kabisa. Kupata passport ni haki ya kila mtanzania ila mashart yake kama una apply visa ya marekani.

Nicheki pm au nitumie namba tuwasiliane
images%20(12)%20(10).jpg
 
upo mkoa gani! ulishagikia kupiga fingerprint?

kama unamtegemea mtu akusaidi hapo immigration utasota! mtafte mwingine humohumo atakusaidia tu siku hiz passpt ni wiki
 
Tatizo ni hili, ukianza kutafuta shortcut na ukaangukia kwa afisa muhuni lazima akuumize. Kama alishapigwa picha na umeshapita mwezi maanake pasi ya kusafiria hi tayari kwa 100%.
upo mkoa gani! ulishagikia kupiga fingerprint?

kama unamtegemea mtu akusaidi hapo immigration utasota! mtafte mwingine humohumo atakusaidia tu siku hiz passpt ni wiki
 
mkuu naomba tushirikishane uzoefu,.ni kweli kuwa mashahidi niliowaweka lazima wakasaini?je ni sahihi hizo printed out forms ziende kwa mwanasheria akazipitishe tena?nimeona mdau hapo juu aliandika., details zingine zote ninazo nilishajaza bado kulipia elfu 20 ili nitoe hizo hard copy,nimesita kulipia kwanza maana bado sijapata hiyo invitation letter.
Back to my comment, it's glad that early January I got my travelling passport. Ni kweli kwenye zoezi hili la hati ya kusafiria kuna changamoto sana kwenye mamlaka zetu lakini kwa aliyedhamiria kupata passport na ana shida mahususi akifuatilia anapata,ahsante kwa michango kwenye hizi mada za majukwaani maana hata kama watu hawajakusaidia lakini mawazo yako yana saidia kutoa ramani za wapi uanze na usiende wapi.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Me nilipata baada ya miezi mi3.
Wadau msitafute passport ukiwa na safari utasafiri..tafuta ukiwa una safari.
 
Back
Top Bottom