Wambie Wasikie
Member
- Mar 6, 2019
- 70
- 71
Habari wanaJamiiForums
Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi.
Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo msingi wa OMBI LANGU LA MSAADA KUTOKA KWENU.
Je, nitakuwa salama kisheria kusajili WEBSITE ambayo SI YA DOT TZ?
ZINGATIA: Ni elimu ya online, sio taasisi ya ana kwa ana.
Naomba kuwasilisha!