vidonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Mdau anauliza kuhusu vidonge vya kupunguza unene je, kuna uwezekano wa utapeli?

    Kupitia ukurasa wa JamiiCheck kwenye mtandao wa Instagram mdau ameshukuru kwa elimu kuhusu dawa za meno, lakini pia ametaka kufamu kuhusu vidonge vinavyotajwa kupunguza unene, je kuna utapeli au vinafanya kazi kweli?
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia vidonge vya dharura vya Uzazi wa Mpango tambueni kuwa havina uwezo wa kutoa mimba

    Kuna dhana kuwa baadhi ya vidonge vya dharura ambavyo vinatumiwa na watu kupanga masuala ya Uzazi wa Mpango mfano P2 na vingine, wapo Watu wanadhani vinatumika pia kutoa mimba, hiyo dhana ni potofu. Jiongeze na utambue matumizi sahihi ya dawa kwa mujibu wa Wataalam wa Afya na usijichukulie...
  4. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

    Tumsifu yesu kristo./ asalama leko wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake. Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge...
  5. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Vidonge vya kuzuia Uzazi kwa Wanaume mbioni kuingia Sokoni

    Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies). Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lwaitama awapa Mwamba, CCM na wafuasi wao vidonge vyao!

    Hizi ndiyo habari za kufungia na kufungulia mwaka: La kuvunda halina ubani. Wakimeza, wakitema ni shauri yao!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uraibu hauwezi kuachwa kwa kumeza dawa. Hakuna vidonge wala mizizi ya kuacha ulevi wa pombe, bangi, sigara, kamari, Umalaya, Punyeto, n.k

    Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi, Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake. Dawa za...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  9. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

    Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika. Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu...
  10. Mona_tz

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kukutana na mwanamke huyu: Nifanye Nini?

    Wakubwa, habari za kazi. Nimeona nilete kwenu tuweze kupena ushauri na elimu pia. Bana, juzi kati kama wiki mbili nyuma, kwenye pita pita zangu nikaonana na mwanamke mkubwa kiumri, vijana tunaita mshangazi. Umri wake kama alivyonieleza ni kweli umeenda (miaka 49). Stori za hapa na pale, kijana...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kweli mioyo ya watanzania imekuwa migumu zaidi ya mawe. Unaanza vipi kutumia vidonge vya PrEP ?

    Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha kuhusu matumizi ya pombe yaliyokithiri yaliyosababishwa na homa ya mapenzi Wakati nilikuwa nikipata...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  13. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

    Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  15. Patandi

    JamiiForums Tanzania House girl wangu anatumia vidonge vya HIV

    Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
  16. Double line

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vidonge mtu akimeza ataweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu?

    Habari wana jamvi Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kuifungua dawa iliyotengenezwa kwa mfumo wa “Capsule” ili utumie unga wake

    Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika. Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule ili kuepusha athari za kupungua kwa nguvu yake kabla haijafika kwenye sehemu sahihi ya mwili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Chupa za Chai zina vidonge vyenye Sumu ambayo ni hatari kwa Afya

    Wakuu hasa wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla nataka kupata Ufafanuzi hapa Kidogo! Chupa zetu za Kuhifadhi Joto La Vinywaji au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani Imegundulika Kuna Vidonge!! Naam Ni vidonge! Video hii inasambaa Mtandaoni Kuhusu Hili Jambo!! TFDA...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
  20. ajent45

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
Back
Top Bottom