Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali nimepoteza kila kitu nikaanza harakati za kufatuta kazi nilifanikiwa kupata kazi kwenye kampuni moja na Namshukuru sana Mungu nilifanikiwa kupata sababu nina gap kwenye cv kwakua baada ya chuo nilianza biashara. Changamoto imekuja kwenye ile kampuni hawalipi kwa wakati hali ilionipelekea kuingia kwenye madeni. Unapitisha miezi miwili hulipwi chochote mwisho wa simu hela yote inaishia kulipa madeni ya dukani kukopa chakula.
Nimefanya kazi kwa miezi mitano lakini nimelipwa mara tatu tu. Nimelipa madeni yote nimebakiwa na elf 20. Naomba msaada nataka kuanzisha genge mahali nahitaj mtaj.
Kama kuna mtu anaweza kununua asali kwa tsh 25,000/= kwa lita naomba unisaidie. Pia kama unahitaj mtu wa kupika , mimi najua sana kupika kama unahitaji mtu akupikie ukirudi nyumbani unakuta chakula naomba tuwasiliane.
Malengo yangu ni raise milioni moja nianze genge. Nina bachelor degree ya business administration. Nina experience na customer service. Nilikua napokea simu 200 plus a day, I know how to work a rude customer, nimetukanwa sana na wateja, I know how to work with smart customers na hata wateja wezi.
Carrying company weight and defend the company, taking the blames and finding the best solution possible also nimejifunza the best note on customer communications.
Kama unaweza kunisaidia please write me a meseji kwenye email yangu. Hata kama unahitaj mtu wa kumlipa kwa siku please sichagui mimi. Jinsia yangu mwanamke age 25.
xby362851@gmail.com