Msaada tafadhali...

Msaada tafadhali...

Mshahara 300k, kwanini hawalipi kwa wakati sijui sababu hata niliowakuta wameacha, hakuna structure, hakuna hr, manager hakuna. Ni kama labour force unaenda unapangiwa majukumu, hakuna mkataba pia. Hela unatumiwa kwenye simu. Wafanyakazi wote niliowakuta ni wapya mbaka sasa wamebaki wawili naona wata
Malipo sio mabaya sana, naona changamoto ni kutokulipwa kwa wakati.
 
Kama una mentality ya kujiajiri ningekufundisha kazi fulani hivi then tufanye partnership tutafute pesa inside
 
Kama una mentality ya kujiajiri ningekufundisha kazi fulani hivi then tufanye partnership tutafute pesa inside
Habari kazi gani naomba kujua, naomba tuwasiliane kupitia email yangu
 
Back
Top Bottom