Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

MR RAY

Member
Apr 13, 2011
22
105
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.

Piga simu au tuma sms WhatsApp 0713749188
Tukuunge kwenye group la WhatsApp la Mitsubishi Owner Club in Tanzania (MOCT)

Utapata spare parts na ushauri zaidi jimsi ya kutunza gari lako.

Ukitaka kujoin moja kwa moja tafadhari bonyeza link hapa lakini utatupa uthibitisho kama ni mmiliki kisha
Lipia Tsh 10,000/= kwa 0713749188

Ndani ya group utapata yafutayo.
-Technical issues na ushauri bure
-Video za namna ya kutumia gari lako
-Spare za gari lako kwa bei nafuu
-Fundi bora wa Mitsubishi kila mkoa
-Msaada wa kitaalamu papo hapo ulipo.
Pia utaweza share experience yako ya gari ukiwa safarini muda wote.

Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
 
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Nipe bei
 
Gari hizi zina vitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1. Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch socket na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.

Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2. Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3. Gari hii ina option ya 4WD

4. Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mzito yaani subwoofer isiyojaza buti.

6. Gari inakuja na seat 7.

7. Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisingeshikika.
 
images - 2022-09-29T114815.532.jpeg
 
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Picha plz
 
Ninaimiliki tangu 2018 nikienda garage ni kwa ajili tu service za kawaida. Dar Arusha natumia full tank moja litre 60. Mziki wake kama nipo disco na haiyumbi barabarani pita njia yoyote ile kipindi cha mvua na jua hutojuta.
Sijutii kuinunua tena nilipata kwa dollar 2300 tu wakati ule. Sasa hivi ni milioni 23 unayo mkononi.
 
Back
Top Bottom