Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

Mlitaka nikodi chopper? Let me enjoy the adventure
Unajua ukiwa una miliki gari muda mrefu, hukosi fundi wako 1 au wawili waaminifu, hivyo ukipata shida simu ya kwanza ni wao wakushauri.

Sasa hapa unaonuesha sio mzoefu wa magari na unaogopa mafundi.

Tajiri utaogopaje?
 
Kitu zaidi ambacho hufanya kelele ukiwasha AC huwa ni mkanda umelegea haushiki vizuri kuzungusha kompresa yaani unateleza ndio unafanya kelele.

Kingine inaweza kuwa fan inagusa pahali au bearing zimekufa

Kingine ni kompresa bearings zimeharibika na kufanya kekele

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom