Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Kama unavaa boxers za Polyester wacha haraka sana hio ndio inayo sababisha mpaka kizazi itakatisha . Nunua boxers za cotton zina bei lakini utakuja Ona tafauti yake.
 
Lina muda gani hili tatizo? Je unajichua? Una kilo ngapi? Unatumia vilevi?

Halafu..Ukweli ni kwamba, kuendelea kutumia dawa za kusuni, mitishamba, au kununua dawa kiholela kwa waganga bila kujua chanzo cha tatizo kunaweza kuchelewesha matibabu sahihi na kuongeza madhara mwilini mwako.

Kutokuwepo kwa uume kusimama asubuhi mara nyingi huashiria uwepo wa shida ya ki-asili (organic ED) kwenye mtiririko wa damu, neva, au homoni.
Nina muda wa kama miezi sita, ndio najichua ila sio sana , kilo ,angu ni 55 kg
 
pole gentleman,
huenda una infectious kwenye via vya uzazi au njia ya mkojo. Tafadhali muone daktari kwa msaada wa kina zaidi kuhusu hilo.

kwa kufanya hivyo,
utapata nafuu ya taratibu lakini ya uhakika na hatimae kupona kabisa changamoto hiyo ya fedheha unayoipitia ukiwa kwenye umri mdogo mno.

Mungu akujalie afya njema gentleman 🐒
Mtu wa ccm,huku unajibu vizuri kabisa na kwa upendo tofauti na kule.
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
mcheki 0714939103 huyu jamaa alinivusha nyakati ngumu sana.Bei yao ya kawaida,nakumbuka niliwalipa el
 
Mtu wa ccm,huku unajibu vizuri kabisa na kwa upendo tofauti na kule.
gentleman,
zingatia maelezo,
jifunze, chukua ushauri na mapendekezo yanayokufaa na usonge mbele na itapendeza zaidi.

binafsi sina uchoyo wa mawazo mapya wala fikra mbadala katika kila jukwaa ninaloona nafaa kushauri na si vinginevyo 🐒
 
Mkuu ni kweli ulichosema, ila kule unakuwa mbogo hasa akisemwa Mh raisi
 
Gentleman,
mimi si mbogo wala nyumbu dhidi ya mdau yeyote yule wa Jf, kuhusu jambo lolote lile jukwaani, huenda makosa yangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ambayo wengi hawapendi kuona yakielezwa.

na ikiwa ni hivyo,
ninaomba msamaha in advance, kwasababu kwa Neema na Baraka za Mungu, nitaendelea kueleza ukweli mtupu jukwaani kwenye mambo ya msingi tu 🐒
 
Nasema mbogo kwa kile ninachokitafsiri kama majibu ya nyodo,ila Kuna kitu nakipenda kutoka kwako na mwashambwa,licha ya matusi na kejeli mnazoshushiwa,sijasikia mkirudisha matusi.
 
Gentleman,
mimi si mbogo wala nyumbu dhidi ya mdau yeyote yule wa Jf, kuhusu jambo lolote lile jukwaani, huenda makosa yangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ambayo wengi hawapendi kuona yakielezwa.

na ikiwa ni hivyo,
ninaomba msamaha in advance, kwasababu kwa Neema na Baraka za Mungu, nitaendelea kueleza ukweli mtupu jukwaani kwenye mambo ya msingi tu 🐒
Mkuu Tlaatlaah nimekuona pm kiongozi
 
gentleman,
zingatia maelezo,
jifunze, chukua ushauri na mapendekezo yanayokufaa na usonge mbele na itapendeza zaidi.

binafsi sina uchoyo wa mawazo mapya wala fikra mbadala katika kila jukwaa ninaloona nafaa kushauri na si vinginevyo 🐒
Mkuu nimekuona pm Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom