Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Aiseee kama ni kweli mbona hauitangazi dawa? Ndiyo kwanza naona leo tangazo lako au kama kuna sehemu ulishawahi kutangaza ,iwe facebook ,insta,tiktok au banners mitaani ebu screenshpot/piga picha tuone ,nikupe benefit of doubt.
Sijaanza kuitangaza. Kwa sasa waliokuwa wanakunywa dawa ndiyo walikuwa wanaleta wengine kunywa.

Mfano mtu A ana tatizo akinywa na anajua rafiki yake B naye ana tatizo hilo, mtu A kwa kupona kwake atamjulisha B kuhusu dawa na B atakuja na mlolongo utaendelea.
 
Sijaanza kuitangaza. Kwa sasa waliokuwa wanakunywa dawa ndiyo walikuwa wanaleta wengine kunywa.

Mfano mtu A ana tatizo akinywa na anajua rafiki yake B naye ana tatizo hilo, mtu A kwa kupona kwake atamjulisha B kuhusu dawa na B atakuja na mlolongo utaendelea.
Upo JF muda mrefu sana ,na nyuzi za upungufu wa nguvu za kiume ni nyingi sana ,ulishawahi kutoa hilo tangazo hapo nyuma? Au ni leo ndiyo umeanza kutangaza?
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Niinbox
 
Upo JF muda mrefu sana ,na nyuzi za upungufu wa nguvu za kiume ni nyingi sana ,ulishawahi kutoa hilo tangazo hapo nyuma? Au ni leo ndiyo umeanza kutangaza?
Sijawahi kutoka tangazo. Ndiyo maana hata post ya kwanza nimeandika "japokuwa nitatoa tangazo mwezi wa nane".

Inamaana kuanza matangazo rasmi itakuwa mwezi wa nane.

Kilichofanya nisitoe matangazo hapo kabla ni kwa vile nilikuwa natibu watu wachache tu kwa mwezi (bila tangazo), hivyo kusingekuwa na uhaba wa dawa hata siku moja.

Baada ya kuona wenye uhitaji ni wengi (by the way, mmoja wa wateja ndiye alishauri wazo la kuitangaza biashara ili dawa uwanufaishe wengi wenye tatizo), ndipo nikaona haja ya kufanya matangazo.

Lakini, kabla ya matangazo, imenilazima kufanya maandalizi ya kuwahudumia wenye tatizo wengi zaidi kwa kuandaa dawa za kutosha, ili idadi yoyote ya wateja isije kumbana na uhaba wa dawa.
 
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.

Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.

Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).

Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.

Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.

N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).

Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).

Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.

0650 140 211
Uo ni wizi
 
Huna tatizo..mbona mi kusimamisha asubuh ni mara chache..ila zoez la uchakataji ni endelevu na la hali ya juu
Sio kila siku utaamka imesimama, kuna time huwa inasijimamia zake usiku mara kibao ukiwa umelala na asubuhi unaamka haijasimama, na siku nyingine monie inakaza kama gunzi.

Dogo asitie shaka sana, bila shaka hofu inamsumbua.
 
Back
Top Bottom