stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,875
- 27,499
Pole mbona umri bado mdogo sana shida nini?labda ungeeleza chanzo cha shida yako ili uweze kusaidiwa.Pia kama shida yako umechezewa kiushirikina hata kama utakula gunia zima la madawa ya kienyeji hutapona,mtafute Yesu atakuponya na uache uzinzi kama una hiyo tabia..Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu