Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
pole gentleman,
huenda una infectious kwenye via vya uzazi au njia ya mkojo. Tafadhali muone daktari kwa msaada wa kina zaidi kuhusu hilo.

Lakini pia huenda una muunganiko wa maradhi mengine yanayotibika kama vile vidonda vya tumbo, malaria au typhoid na mambo ambayo yanaweza kudhoofisha uzalishaji wa vichocheo vya mwili na kukukosesha hisia za kingono na kukufanya kuhisi au kujistukia kua una changamoto ya nguvu za kijinsia kumbe ni maradhi tu ya kawaida mwilini.

Ni muhimu sana pia kucheki sukari na wingi wako wa damu mwilini kwasababu mzungukuo sahihi wa damu ndio hufanya mkunyange au mshedede usimame vizuri, na kwahivyo pakiwepo na changamoto kwenye damu panaweza kupelekea ushindwe kusimamisha mkunyange na kusababisha upate mfadhaiko wa kisaikolojia unaoathiri na kudidimiza msisimuko wa kingono kwa kiasi kikubwa sana.

Kujitibu bila dawa ni pamoja na kuacha kabisa kuangalia video za ngono, kujipa likizo ya walau miezi miwili bila ya kupiga nyetro, kushiriki mazoezi mepesi ya viungo mara kwa mara, kula chakula kizuri cha kutosha, kunywa maji na maziwa ya kutosha mara kwa mara, kula matunda ya kutosha mara kwa mara, kutafuna korosho au karanga kiasi mara kwa mara, kupumzika vya kutosha, kupunguza matumizi ya sukari kwa wingi kwenye chai au uji, kupunguza matumizi ya pombe na sigara kupita kiasi n.k

kwa kufanya hivyo,
utapata nafuu ya taratibu lakini ya uhakika na hatimae kupona kabisa changamoto hiyo ya fedheha unayoipitia ukiwa kwenye umri mdogo mno.

Mungu akujalie afya njema gentleman 🐒
 
Mdogo wangu pole sana kama una uhai mwingine shukuru Mungu saivi watanzania tunapambania katiba mpya hata sisi malijari tuko kama wewe tu saivi! au wewe Tangazo hujaliona?
 
Nenda usukuman kaka utapona siku moja tu

Tatizo kabisa la nguvu za kiume huanzia tumbon

Utakuwa na maradhi ya tumbo
 
Swali: Je unaweza kupiga punyeto na mboro inasimama na kukojoa shahawa
Kama jibu ni ndio basi huna tatizo la nguvu za kiume, una tatizo la wasiwasi

Tatizo la nguvu za kiume in kama huna hela sio mboro kutosimama

1784988884098.png
 
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.

Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.

Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).

Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.

Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.

N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).

Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).

Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.

0650 140 211
Baada ya kunywa na kufanya kitendo, unalipia 1 Milioni, kesho imekufa Tena, au inamwendelezo? Na swali la kizushi, hiyo dawa ni mitishamba au dawa za kizungu? Side infect yake pia ni muhimu Kujua kabla ya matumizi
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Jifanyie kwanza auditing ya daily routine zako.
1. Unalala saa ngapi
2. Unakaa kwa muda gani
3. Unakula chakula cha aina gani
4. Unafanya mazoezi yoyote/Manual work
5. Una mawazo yoyote hasi kuhusu wewe
6. Una mpenzi/ wapenzi
7. Una sustain erection kwa muda gani na unatakaje.
8. Unatumia electronic devices kwa muda gani per day
9. Una ugonjwa wowote mkubwa tofauti na ED ?
10. Unalala masaa mangapi kwa siku ?
11. Etc

Ukiona kuna jambo unusual hapo kwenye list jaribu kufanya adjustment
 
Baada ya kunywa na kufanya kitendo, unalipia 1 Milioni, kesho imekufa Tena, au inamwendelezo? Na swali la kizushi, hiyo dawa ni mitishamba au dawa za kizungu? Side infect yake pia ni muhimu Kujua kabla ya matumizi
Hapo peusi, sijawahi kupata mrejesho wa mtu aliyetumia dawa na baada ya siku iwe moja au Zaidi mashine ikafa tena.

Pia, baada ya kujiridhisha kuwa sasa mhusika anakula mbususu effectively, siku ya kumuaga Huwa lazima nimuachie dawa hasa ile ya kunywa ili aendelee kunywa mpaka dawa niliyomwachia iishe au aone yeye mwenyewe Haina haja ya kunywa Tena.

Kuhusu ni dawa asili au za viwandani, ni dawa asilia zitokanazo na miti.

Side effects siwezi zungumzia sana kwa kuwa binafsi sijawahi kupata mrejesho wa mtu aliyepata athari kutokana na dawa hizo Zaidi ya athari ya mhusika kuanza kuchakata mbususu with immediate effect.
 
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.

Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.

Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).

Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.

Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.

N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).

Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).

Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.

0650 140 211
Acha utapeli kenge wewe. Wewe jomba mwenye tatizo nenda hospitali.
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Watu wapumbavu wa hapa jf siku zote huwa nawaambia sababu ni Wavulana kuchelewa kusex na wasichana...mvulana yoyote akivuka miaka 22 bila ya sex awezi kuwa sawa ..nguvu zake zitakuwa zimesha potea kwa asilimia 20% hadi 40% na akifikisha miaka 28 hadi 30 bila ya kusex nguvu zake vitakuwa zimekufa kwa asilimoa 70 hadi 90 ...WAPUMBAVU MSIJE KUNIULIZA KWA KUSEMA MBONA WATU WA KALE WENGINE WALICHELEWA NA NGUVU ASIKUATHILIKA ? NI KWELI KWA MIAKA YA CHINI KABLA YA MAPINDUZI YA TEC INGEWEZEKANA KIJANA KUFIKISHA MIAKA 26 BILA YA SEX NA KUWA NA NGUVU ILA SIYO KWA SASA ....HIVYO NASHAURI KIJANA YOYOTE WA KIUME ..AKIKISHA UNAZIVUNJA SHERIA ZA KIANITHI ZA DUNIA ZINAZO ZUIA SEX CHINI YA MIAKA 18 KWA GHARAMA ZOZOTE.
 
Back
Top Bottom