Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Msaada sina kabisa nguvu za kiume

pole gentleman,
huenda una infectious kwenye via vya uzazi au njia ya mkojo. Tafadhali muone daktari kwa msaada wa kina zaidi kuhusu hilo.

Lakini pia huenda una muunganiko wa maradhi mengine yanayotibika kama vile vidonda vya tumbo, malaria au typhoid na mambo ambayo yanaweza kudhoofisha uzalishaji wa vichocheo vya mwili na kukukosesha hisia za kingono na kukufanya kuhisi au kujistukia kua una changamoto ya nguvu za kijinsia kumbe ni maradhi tu ya kawaida mwilini.

Ni muhimu sana pia kucheki sukari na wingi wako wa damu mwilini kwasababu mzungukuo sahihi wa damu ndio hufanya mkunyange au mshedede usimame vizuri, na kwahivyo pakiwepo na changamoto kwenye damu panaweza kupelekea ushindwe kusimamisha mkunyange na kusababisha upate mfadhaiko wa kisaikolojia unaoathiri na kudidimiza msisimuko wa kingono kwa kiasi kikubwa sana.

Kujitibu bila dawa ni pamoja na kuacha kabisa kuangalia video za ngono, kujipa likizo ya walau miezi miwili bila ya kupiga nyetro, kushiriki mazoezi mepesi ya viungo mara kwa mara, kula chakula kizuri cha kutosha, kunywa maji na maziwa ya kutosha mara kwa mara, kula matunda ya kutosha mara kwa mara, kutafuna korosho au karanga kiasi mara kwa mara, kupumzika vya kutosha, kupunguza matumizi ya sukari kwa wingi kwenye chai au uji, kupunguza matumizi ya pombe na sigara kupita kiasi n.k

kwa kufanya hivyo,
utapata nafuu ya taratibu lakini ya uhakika na hatimae kupona kabisa changamoto hiyo ya fedheha unayoipitia ukiwa kwenye umri mdogo mno.

Mungu akujalie afya njema gentleman 🐒
Kiongozi we ni daktari lakini 🤔
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu

njoo unijibu maswali yangu inbox nijue nskusaidiaje
 
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.

Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.

Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).

Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.

Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.

N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).

Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).

Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.

0650 140 211
Duuuuuh
 
Mtu una jiita betting machine nguvu utatoa wapi..?! N'way ni tatizo la ukubwani au since umezaliwa..?!

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
 
Sitoi dawa kwa sababu ya njaa.

Kama Kuna wenye dawa za uhakika kwa bei nafuu, mwelekeze tu mkuu.

Dawa nitakazompa zinanighatimu mno kuzitengeneza. Fikiria tu hivi, dawa hiyo Ina jumla ya dozi 9 tofauti.
Yaani tatizo moja dawa za magonjwa yote? Dozi 9?
Nadhani unabahatisha.
 
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.

Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.

Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).

Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.

Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.

N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).

Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).

Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.

0650 140 211
Hiyo MIlioni akupe wewe au ampe huyo mwanamke mana sasa huu ni wizi tu umuibie kijana wa watu tena bwana mdogo ana miaka 24!! umchukulie mil kisa nini>?? dogo nenda hospital achana na haya majitu maongo..
 
Ni dawa za asili. Si dawa aina moja pekee.

Kwa jumla Kuna dozi Tisa (9). Kuna za kunywa, kuoga,

Lakini akiwa alishawahi kusimamisha na kula mzigo, anaweza ishia dozi mbili tu mashine inarudia nguvu za ujanani hata kama kwa sasa imedhoofika kutokana na mambo kadhaa wa kadha kama uzee.

Kama hajawahi kusimamisha kabisa tokea kuzaliwa, anaweza pia akaishia dozi mbili pekee au akamaliza dozi zote.

Ila kwa uzoefu, wengine huishia dozi Namba mbili. Wakiona wameshaanza kula mzigo fresh wanatimua zao kwenda kuendelea na shughuli za utafutaji.
Aiseee kama ni kweli mbona hauitangazi dawa? Ndiyo kwanza naona leo tangazo lako au kama kuna sehemu ulishawahi kutangaza ,iwe facebook ,insta,tiktok au banners mitaani ebu screenshpot/piga picha tuone ,nikupe benefit of doubt.
 
Back
Top Bottom