Habari zenu naomba nifahamishwe jinsi ya kununua furniture , shipping hadi inifikie tuseme ninunue masofa ya milion 2 hadi yanifikie dar gharama sh ngapi na muda gani na nazipokea wapi?
 
Kwanini ununue nje? Kuna mafundi wazuri,,wanakutolea sofa zaidi ya hyo uliyoiona nje ya nchi ,,na hutojuta. Please omba msaada wa kupata fundi wazuri wawili ama watatu kutana nao kwa muda tofauti, zungumzeni kazi na malipo, hutojuta kabisa.
Hao mafundi wako wapi mimi mwenyewe nahitaji kwaajili ya harusi yangu.
 
Majibu ni haya hapa,

Kununua aliexpress ni ngumu kwa. Mzigo mkubwa kama huo, kwasababu shipping options utazopewa ni Dhl, UPS, au Fedex ambapo gharama za usafirishaji zinaweza kuwa mara mbili au tatu au nne kwa aina ya ukubwa wa mzigo huo.

Ingia alibaba, tafuta supplier wa uhakika wasiliana nae, dadisi ubora, pitia profile ya kampuni ukishapata unachokitaka, wapigie simu silent ocean au Gnm cargo wakupe address za warehouse zao ambazo zipo karibu na supplier wako, kisha wasiliana na supplier, uliza gharama za zote pamoja na za kupeleka mzigo warehouse ya wasafirishaji niliowataja hapo juu, bila kusahau ulizia pia ukubwa wa mzigo, kwa kupimo cha CBM ukishajua zidisha kwa 450$ utapata gharama za kusafirisha mzigo wako mpaka bongo land.
(usafiri ni wa meli) waiting period 30 - 60 days.
 
(usafiri ni wa meli) waiting period 30 - 60 days
Swali langu mimi linajikita kwenye nini faida ya kuwatumia wasafirisha mizigo kama silent ocean kwa maana ya kuwasiliana nao moja kwa moja? Je ukimuacha supplier ndo akutafutie mtu wa kuleta mzigo, nini hasara yake? Nitashukuru kwa kuelimishwa.
 
Swali langu mimi linajikita kwenye nini faida ya kuwatumia wasafirisha mizigo kama silent in kwa maana ya kuwasiliana nao moja kwa moja? Je ukimuacha supplier ndo akutafutie mtu wa kuleta mzigo, nini hasara yake? Nitashukuru kwa kuelimishwa.
Ukimuachia supplier akutafutie wasafirishaji kwa hizi loose cargo (yaani mizigo midogo midogo kuna changamoto nyingi)

Pili gharama zinakua juu zaidi,
Tatu mzigo ukifika inabidi utafute agent wa kukamilisha clearance na taratibu nyingine za kikodi.

Kwa hiyo hapo mpaka kupata mzigo unakua umepita kwenye mikono mingi na gharama lazima zitakua juu, tofauti na hawa wasafirishaji niliowataja wanamaliza kila kitu.
 
Kwanini ununue nje? Kuna mafundi wazuri,,wanakutolea sofa zaidi ya hyo uliyoiona nje ya nchi ,,na hutojuta. Please omba msaada wa kupata fundi wazuri wawili ama watatu kutana nao kwa muda tofauti, zungumzeni kazi na malipo, hutojuta kabisa.
Nenda keko utakutana nao,jifanye unaenda kununua halafu mwisho wa siku katika hao wapambe watakakuoneshea chukua namba zao
 
Keko zimejaa KIBAO....

Yanini kuagiza nje?!!

Hapa ndani ukitaka hata STYLE upendayo wanakuchongea tena kwa mbao zilizo bora kuliko hizo za NJE.....
 
Nimesoma baadha wanashauri why ununue nje ilhali hata keko zipo. Tatizo wachongaji wa uswazi uswahili mwingi, unamlipa advance utasumbuliwa mpaka unakata tamaa. Ndio maana wengine huamua kuagiza mzigo toka nje ambao ni quality na bei nzuri na pia uhakika wa kufika upo no matter what.
 
Master card ni master card, maana kampuni ya master card ni moja tu wengine mawakala...

Sawa unaweza kutumia M-pesa master kadi! Ni salama haina shida! Mm nanunulia sana bidhaa mtandaoni!

Faida yake ni kwamba unaweza kutengeneza kadi ya muda kwenye menue ya m-pesa! Ukahamishia kiasi unachotaka kununua biadhaa online!

Mfano iphone dola mia! Basi unahamishia hicho kiasi kwenye hyo kadi uliyoitengeneza.

Badala ya kutumia master kadi yako ya CRDB ambayo labda itakuwa na pesa nyingi!

Mwisho wa siku ukaibiwa zote! Mpesa master kadi unaitengeneza mwenyewe kwenye menue ya voda!

Halafu wanakutukia no ya kadi ambayo unaweza kutumia kwa manunuzi!

So utahamisha tu pesa kutoka mpesa kawaida kwenda kwenye hyo master card yako ya voda
 
Yah sure, hata airtel mastercard ni safi tu na yenyewe hahitaji kuhamisha ela elailiyoko airtel money ndo hiyo hiyo, halafu makato yake ni afadhali kuliko Mpesa master card
 
4444
Sawa unaweza kutumia M-pesa master kadi! Ni salama haina shida! Mm nanunulia sana bidhaa mtandaoni!

Faida yake ni kwamba unaweza kutengeneza kadi ya muda kwenye menue ya m-pesa! Ukahamishia kiasi unachotaka kununua biadhaa online!

Mfano iphone dola mia! Basi unahamishia hicho kiasi kwenye hyo kadi uliyoitengeneza.

Badala ya kutumia master kadi yako ya CRDB ambayo labda itakuwa na pesa nyingi!

Mwisho wa siku ukaibiwa zote! Mpesa master kadi unaitengeneza mwenyewe kwenye menue ya voda!

Halafu wanakutukia no ya kadi ambayo unaweza kutumia kwa manunuzi!

So utahamisha tu pesa kutoka mpesa kawaida kwenda kwenye hyo master card yako ya voda
8484844
 
Habari, ndugu mimi nimekua natumia sana aliexpress kufanya manunuzi yangu sasa kuna baadhi ya bidhaa... Aliexpress bado hazijanishawishi na zengine hakuna. Sasa nimepata somo kidogo na nimeamua kujiunga na Amazon na nimeamua kuwatumia comgateway kama agent wangu ila naomba maelekezo kidogo kuna sehemu nakwama.

1.Mimi sina sanduku la posta sasa ninapo taka kuweka address yangu kule comgateway naweza weka details zipi kwa wale waliotumia hii munisaidie pamoja na zip code.

2. Jinsi ya kuiweka hii shipping adress niliyopewa na comgateway ya US vizuri bila kukosea kule Amazon.. Hapa pia nahitaji maelekezo...

Lakini pia hata ushaur kama kuna the best agent wa kuaminika wa hapa Tz ambaye anaweza kunisafirishia mizigo yangu toka US up to Tz munaweza muka nishaur nimtumie Agent yupi.

Ahsanten
 
Lakini pia hata ushaur kama kuna the best agent wa kuaminika wa hapa Tz ambaye anaweza kunisafirishia mizigo yangu toka US up to Tz

1.Mimi sina sanduku la posta
Kwakuwa mzigo wako utakuja kwa njia ya DHL , Unajaza physical address na namba ya simu. Mzigo ukifika Tanzani utapigiwa simu kwa taratibu zaidi ili kupata mzigo wako.
2. Jinsi ya kuiweka hii shipping adress niliyopewa na comgateway ya US vizuri bila kukosea kule Amazon.. Hapa pia nahitaji maelekezo...
Pitia kwenye site ya comgateway wametoa maelekzo ya kina jinsi ya kutumia anwani yao waliyokupa.
 
Back
Top Bottom