Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

bashite akikulipa ni pm bas nikupe namba yangu unitumie hela kidogo nikanywe kiroba nilewe kama wewe
 
Wewe ndo mamlaka ya kukagua vyeti vya wachungaji? Unaonaje ukaishauri serikali yako mkuu wakatunga sheria ya sifa za mtu anayefaaa kuwa Mchungaji ili kuwe na chombo cha kuwafanyia vetting na wakuteuwe uwe mkuu wake ili umshughulikie gwajima? Hahaaa
Na nyie ndo mamlaka ya kukagua cheti cha makonda? Unaongea au umepagwa mfyuuu
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
CV YAKE INAPATIKANA YEREMIA 1:5 ''Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa''

UJASIRI WAKE UNAPATIKANA YEREMIA 1:10 ''angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.''

NA SASA ANATEMBELEA NA YEREMIA 20:11 '' Lakini Bwana yu pamoja nami, mfano wa shujaa mwenye kutisha; kwa hiyo hao wanaonionea watajikwaa, wala hawatashinda; watatahayarika sana. Kwa sababu hawakutenda kwa akili, wataona aibu ya milele, ambayo haitasahauliwa kamwe''

Karibu.
 
hahah uchungaji hausomew ni kama mganga wa kienyeji...mungu anamuinua mtu anakua mchungaji ila akitaka kwenda kusoma ni uamuz wake sio Lazima...
Nani kakudanganya? Vyuo vya dini viliwekwa kwa ajili ya? Uliza uambiwe wewe, huwezi kutoa huduma za kiroho kizembe kama unatoa tigo
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji

yah ni kweli maana hata sijaelewa kwan nn kaleta yote yale ya vyeti bwana utafikiri linaathiri taifa... Yule jamaa bwana sijui mtu wa wapi kweli
 
Wewe! acha chizo ulisikia uchungaji ambao no kazi ya Mungu imesomewa chuoni. Kwanza uchungaji no kativya huduma 5 alizoacha Kristo mwenyewe. Soma Waefeso 4:11 utaelewa. Pia niambie manabii Kama Musa, Eliya, Elisha, Yeremia, Ezekieli kwa uchache tu walikuwa na vyeti vya chuo gani? Watumishi was kweli wa Mungu huchaguliwa na Mungu mwenyewe kwa njia ya Roho Mtakatifu. Mawazo yako no ya kibinadamu zaidi hujui kweli ya roho ndiomaana unahitaji mtumishivwavMungu Gwajima aonyeshe cheti cha uchungaji. Kwani umesikia ameajiriwa kwenye Nazi ya wanadamu? Mwajiri wake in Mungu ambaye sifa ya kuajiri mtumishi wake in Moyo uliovunjika na kupondeka. Soma Zaburi 51:17 utaelewa.


uchungaji una shule mzee au haujui hilo????
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Mkuu hata mtu akijiajiri mnahitaji cheti!!!!?
 
Uchungaji siyo taaluma ni karama.Hivyo kusoma thiolojia si kigezo cha mtu kuwa mchungaji. Unaweza kusoma thiolojia ila ukawa mtu tu wa kawaida.Hivi amekuambia yeye nilecturer nje ya Nchi unafikiri alipata 0 form iv?
 
Kwann sizonje ateue vilaza?ninashaka nae sana Na vyet vyake mda utafika nawaambia
 
mkuu umekosa kazi.
Cv ya Gwajima ukiipata itakusaidia nini? unajifanya nfurukutwa wa Katoliki hata kanisani huendi, hata kitu alichoongelea Gwajima hukijui.
Fanya kazi za zako ili uongeze kipato siyo kufuatilia cv za watu

anza kuleta cv yako ya kuunga unga
Waumini utawajua tu kwa mapovu yao
 
Wako wenye bachelor za theology wanafanya kazi nyingine Mungu huinua watumishi wake kwa njia zake mwenyewe na sio kwa maono ya kibinadamu cv yake ni kulijua neno la Bwana lililowekwa ndani yake
 
Back
Top Bottom