MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
Hizi CV huwa mnazikumbuka watu wakihama Chadema?Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.
Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.