Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Ha Ha has. Au unatafuta CV ya Gwajima ili akaombewe kanisani kwake? Atubu kwanza!!
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Kabla hujafika huko tuletee cha mchungaji/ padri/askofu wako au sheikh ndiyo utoke nje. Kama hutaweza kuvileta basi kaa kimya. Huwezi kumjibu mtu kwa kumrudishia swali
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Vp Vyeti vya bashite imeshindikana kuvionesha au!

Ova
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
ushapokea bahasha ya kaki kwa makonda ama nenee ?
naona unamsafisha tu alete cheti
 
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.

Naomba msaada kwa wanaojua..
Vyeti vya bashite vimegoma kuonekana nini!

Ova
 
JAMAA KAPIGA SHULE YULE. UNACHOKITAFUTA HUTAKIPATA.
shule gani hiyo ndo tunataka kujua maana kama mtu anajielewa hawez kuprophecy kuwa ana cheti cha zero hali ya kuwa hakijawai tokea Tanzania mtu kupata zero na kupata cheti
 
shule gani hiyo ndo tunataka kujua maana kama mtu anajielewa hawez kuprophecy kuwa ana cheti cha zero hali ya kuwa hakijawai tokea Tanzania mtu kupata zero na kupata cheti

Kwaweza kuwa kuteleza huku. unachoshikila hapa ni ujinga.
 
Mleta mada unataka CV ya Gwajima, unataka kumuajiri?
Unaweza kumuajiri mtu anae endesha "helikopta" wewe? Au unaleta utani?
Ebu tuambie bajeti yako kwa mwaka shilingi ngapi kwanza kabla hatujakupa CV ya Gwajima.

Ha ha ha haaa...nakutania mleta mada bwana...mimi sina cv yake ila nasikia ana PHD yule bwana pia anaenda kutoa lectures vyuo vya nje huko...sidhani kama angekuwa na elimu myumbiko angefanya hayo yote.

Sipo kishabiki lakini.
 
Sina nia ya kumtetea mtu lakin napenda kuona ukweli huyu anayesema mwenzake zero yeye vip? Ili mimi nimuelewe ni kheri kufahamu elimu yake pia asije akawa kipofu anamcheka mwenye chongo hali ya kuwa yeye haoni kabisa
nenda necta kawaulize na uje na matokeo ya daudi bashite pia tuyalinganishe
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji

Daudi atakuwa anakulipa ghali sana wee jamaa. Nakuona uko bize kumsafisha hapa. Mwambie aende Clouds na vyeti vyake amalize hii kitu. Hayo mengine ni yako.
 
Back
Top Bottom