Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Mtu ana makanisa zaidi ya 400, anamiliki helicopta, anawaumini zaidi ya elfu 70 n.k bado unauliza CV? kama amemuajiri mtu anayerusha chopa ambaye CV yake ni ya hali ya kuelewaka bado unahoji muajiri? unajua CV ya dangote? unajua CV za Said Bakhresa? unajua cv za Watu wengi waliofanikiwa kifedha?
 
Gwajima anafuata mafundisho ya yesu sasa nakuuliza kama mwalimu hana cheti mwanafunzi atakitoa wapi.? Hicho kichwa ukitumie kwa kufikiri siyo kufugia nywele
Yesu yupi? Yesu hajawahi kuuza unga wala kutembea na wake za watu
 
Huko nchi za wenzetu uliuliza kama wanatajanatajana hovyo kwenye media kuwa wanatumia ngada?

We mimi nina mashaka jinsia yako ni ile namba 3

a1613aaa7aedc60ab38e96d8312a1851.jpg


Na leo utaugua sana na Gwajima. Povu litakutoka mwana kwetu mpaka upandwe mori wa kidigo
Jinsia yangu ukitaka ujue nenda kanusa papuch* ya mama ako ndo utaijua
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Wewe ndo mamlaka ya kukagua vyeti vya wachungaji? Unaonaje ukaishauri serikali yako mkuu wakatunga sheria ya sifa za mtu anayefaaa kuwa Mchungaji ili kuwe na chombo cha kuwafanyia vetting na wakuteuwe uwe mkuu wake ili umshughulikie gwajima? Hahaaa
 
Kwani yesu na mitume zake walikua na vyeti!?

Vipi kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W) Alikua na vyeti!?

Muacheni gwajima wa watu aendelee kutupa Habari za Uzima na Ufufuo
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Uchungaji hausomewi
 
Mtu ana makanisa zaidi ya 400, anamiliki helicopta, anawaumini zaidi ya elfu 70 n.k bado unauliza CV? kama amemuajiri mtu anayerusha chopa ambaye CV yake ni ya hali ya kuelewaka bado unahoji muajiri? unajua CV ya dangote? unajua CV za Said Bakhresa? unajua cv za Watu wengi waliofanikiwa kifedha?
..Hizi tabia za Kitanzania ni za ajabu mkuu..Akipata cv yake sijui anaifanya nini.....Pia wanasahau hiyo vita itaisha na watu watakosa cha kuandika humu...Hao wote ni WATU WA KUKALISHWA NA KUAMBIWA KWA LUGHA MOJA NA KUSIKIA NA WAKASHIKANA MKONO na Wataambiwa kitu Kimoja tu "Lekagi ámamihayo tokwiduma gete" na watanyamaza...mfano kuna watu walisubiri bifu kali ya Makonda na Msukuma na wakajiandaa...hicho kitu hakiwezekani...
 
Binafsi natamani kusoma bachelor ya Theology ila siku nikikuta lecturer ni Gwajima naacha siku hiyohiyo. Nimemsikia akijisifu kuwa yeye ni lecturer mara kadha hivi.
 
Ni
HUYU NDIYE ASKOFU TAJIRI KULIKO MAASKOFU WOTE TANZANIA | THE RICHERT BISHOP IN TANZANIA






Pastor Josephat Gwajima


Gari la kifahari aina ya Hummer 2 analomiliki Mchungaji Gwajima
Expensive vehicle, Hummer 2 owned by Pastor Gwajima

Buses bought by Pastor Gwajima for his Church members
Mabasi aliyonunua Gwajima kwa ajili ya waumini wake
  • HE BUYS CARS TO EACH OF HIS 30 PASTORS
  • HE HAS 20 BUSES FOR THE CHURCH MEMBERS
  • HE EARNS 1900$ PER DAY
  • HE OWNS A 4 APARTMENT HOUSE
  • EUROPE AND AMERICA JOURNEYS EACH YEAR MAKE HIM EARN 120,000$
  • HE HAS 70,000 CHURCH MEMBERS

Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

NO.1....AWANUNULIA WACHUNGAJI WAKE 30 KILA MMOJA GARI,MABASI 20 KWA AJILI YA WAUMINI,ANAINGIIZA MILIONI 3 KWA SIKU.

UCHUNGUZI wa kina uliofanywa na Gazeti la Uwazi kwa muda wa siku 30 umebaini kuwa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar, Josephat Gwajima ndiye anayeongoza kwa utajiri wa viongozi wa imani ya Kikristo, hususan wa njia ya kilokole

Utafiti huo umefanywa kwa kutembelea makanisa makubwa ya kiroho ya jijini Dar es Salaam na kuomba kuzungumza na viongozi wake ambapo Gwajima alitoa ushirikiano kwa asilimia mia moja kuliko wengine.
MAKANISA YALIYOTEMBELEWA
Makanisa yaliyotembelewa na majina ya viongozi wake kwenye mabano ni pamoja na Full Gospel Bible Fellowship (Askofu Zachary Kakobe), Living Water Center ‘Makuti Kawe’ (Mtume Onesmo Ndegi), Kanisa la Maombezi ‘GRC’ (Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’), Mikocheni B Assemblies of God (Mama Rwakatare) na Kanisa la Efatha (Nabii na Mtume Josephat Mwingira)

KWA NINI GWAJIMA NI NAMBA MOJA?
Anakuwa namba moja kwa sababu alianika mali zake na kipato chake kingine bila kushikwa na kigugumizi. Gwajima alisema anamiliki gari la kifahari aina ya Hummer 2 ambalo gharama ya manunuzi mpaka kufika Tanzania ni wastani wa shilingi milioni 250.
AWANUNULIA WACHUNGAJI MAGARI
Akizungumza na Uwazi hivi karibuni kwenye ofisi za kanisa lake, Kawe, Dar, Mchungaji Gwajima alisema hivi karibuni aliwanunulia wachungaji wake 30 magari ya kutembelea. Alisema fedha hizo alizitoa mfukoni mwake.

ANAMILIKI JUMBA LA GHOROFA NNE
Mchungaji huyo alikwenda mbele zaidi kwa kuanika maisha yake ambapo alisema awali alikuwa akiishi kwenye nyumba ya kupanga iliyopo Mbezi Beach, Dar lakini kwa sasa amehamia katika nyumba yake mpya ya ghorofa nne, mbili zikiwa hazijakamilika. Nyumba hiyo ipo Mbezi Beach.

ANA MABASI 20 KWA AJILI YA KUSAFIRISHIA WAUMINI WAKE
Gwajima: “Pia nimeweza kwa neema ya Mungu kununua mabasi ishirini. Haya ni kwa ajili ya kusafirishia waumini wa kanisa langu wakati wa kuja kwenye ibada na kurudi makwao.”
Alisema mabasi hayo ambayo hakuyataja majina na wala yenyewe hayajaandikwa majina mbele akidai ni ‘oda’ maalum, kila moja alilinunua kwa shilingi milioni 120.

SAFARI YA ULAYA NA MAREKANI KILA MWAKA HUMWINGIZIA SHILINGI MILIONI 192
Akizungumzia kipato, Gwajima alisema mbali na sadaka ambazo huendeleza kanisa, yeye mwenyewe kila mwaka huwa na safari ya Marekani kwenda kufundisha Injili kama mwalimu.
“Pia nimekuwa nikijipatia fedha kutokana na kazi ya ualimu ambapo kila mwaka mara moja huwa nakwenda nchi za Ulaya na Marekani kufundisha kwa siku 60. Katika siku hizo huwa nalipwa dola za Marekani 2,000 kwa siku,” (kama shilingi milioni 3.2).
Kwa hesabu hiyo, kwa siku sitini Mchungaji Gwajima hukamata shilingi milioni 192 na kurudi nazo Tanzania.

ATAMBA KUWA NA WAUMINI WENGI KULIKO WENZAKE
Gwajima alisema kwa sasa kanisa lake limepanuka ambapo alitamba kuwapa Neno waumini wapatao 70,000 kwa siku hivyo yu mbioni kuanzisha makanisa mengine mikoa yote ya Tanzania.
Kiongozi huyo alifafanua kuwa amefanikiwa kuwa na waumini wengi kuliko makanisa mengine kutokana na huduma nzuri anayotoa kwa waumini na jamii kwa jumla.
“Nimefanikiwa kuwa na waumini wengi kuliko wengine kwa sababu nahubiri Neno tu, sirushiani maneno na makanisa mengine.
“Sisi (yeye na wachungaji wake) hatuna utamaduni wa kuwashambulia wachungaji wenzetu. Wao hata wakitusema vipi, sisi tunakaa kimya kwani kujibishana kunaleta mgawanyiko,” alisema Gwajima.

MZEE WA UPAKO
Uwazi lilifika kwa Mzee wa Upako, Ubungo Kibangu, Dar lakini ilikuwa ngumu kumuona, wasaidizi wake wakisema ana huduma ya kiroho.
Hata hivyo, kwa kutumia kumbukumbu za nyuma ambapo mtumishi huyo wa Mungu aliwahi kuhubiria waumini wake (ikaandikwa kwenye Uwazi) akitaja utajiri alionao na mahubiri hayo kurushwa na Channel Ten, alisema:
“Mimi ndiye Mzee wa Upako, nikitoka nje nakuta magari yangu sita, nachagua leo niendeshe hili au lile. Najiambia hapana hili nililiendesha jana, nachukua lingine.”

ATAJA MAGARI ALIYONAYO
Katika mahubiri hayo, Mzee wa Upako aliyataja magari hayo kuwa ni Mercedes Benz, Land Rover Discovery, Range Rover Sport, BMW X5, Ford Escape na Range Rover Vogue.
Aidha, mtumishi huyo wa Mungu aliendelea kutamba kuwa nyumbani mwake kuna viyoyozi (AC) na kubainisha kwamba huwa akitoka kwenye gari lenye kiyoyozi anaingia katika nyumba yenye kiyoyozi.
Kiongozi huyo ana kanisa kubwa la ghorofa Ubungo Kibangu na mabasi makubwa matano ambayo hutumika kuwasafirishia waumini wake kutoka Barabara ya Mandela hadi kanisani kwake.

KWA WACHUNGAJI WENGINE, UWAZI LAAMBULIA PATUPU
Kwa wachungaji wengine wa kiroho, mwandishi wetu alipigwa danadana za nenda rudi, nenda rudi lakini kwa muda wote huo hakuweza kuonana na viongozi wake ili na wao wafungukie utajiri wao licha ya kwamba baadhi yao unajulikana.
Uwazi lilipenda kusikia kutoka kwenye vinywa vyao na si kwa kuambiwa na watu wengine au kuhisi.


Kwa Askofu Kakobe, nako hali ilikuwa hivyohivyo...
If you have any comment concerning the manifestation of God to the Church by blessing his servants, don't hesitate to post your comments below. May God bless you.
Kama una maoni yeyote kuhusu Mungu anavyowabariki watu wake, tuma maoni yako hapo chini. Mungu na akubariki.







SOMA HII WAKATI NAKUTAFUTIA CV
Nina maswali mengi kuhusu Gwajima ambayo hayana majibu.Ila kila mtu na imani yake ingawa wengine wanaabudu idols.
 
Team Bashite povu la watoka
Kutesa kwa zama bhanaa
 
Baba Askofu Gwajima ataweka wazi kwenye ibada ya Jumapili ila labda tupate ya daudi
 
hahah uchungaji hausomew ni kama mganga wa kienyeji...mungu anamuinua mtu anakua mchungaji ila akitaka kwenda kusoma ni uamuz wake sio Lazima...
 
Back
Top Bottom