BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Mleta mada unataka cheti cha gwajima cha uchungaji ....nenda ofisin kwake atakupa
Muulize DAUDI BASHITE wanajuana VIZURI sanaWadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Gwajima anafuata mafundisho ya yesu sasa nakuuliza kama mwalimu hana cheti mwanafunzi atakitoa wapi.? Hicho kichwa ukitumie kwa kufikiri siyo kufugia nyweleUsimfananishe yesu na vitu vya kijinga wewe
Akirudi kwenye media kuliongelea hili nitamshukuru sanaAliekwambia uchungaji una degree nani? Angekua padre au askofu wa roman catholic kdgo tungeweza kuulizia maswala ya elimu . Sasa uchungaji wa gwajima na degree wap na wapi? Mwambie aliekutuma akitaka alimalize hili atoe vyeti vyake hadharani a clarify watu tuone. Ila kugeuza mashambulizi hakusaidii. Ye c anapenda sana Media? Aitishe press conference tena a clarify mambo.
Huko nchi za wenzetu uliuliza kama wanatajanatajana hovyo kwenye media kuwa wanatumia ngada?Huna akili, uliza nchi za wenzetu kama uchungaji unajipachika tu kiholela
Ni kweli yeye sio mtumishi wa umma bali ni mchungaji ila bado ni public fegure. Na kama mchungaji hapaswi kujihusisha na siasa na hata kama akijihusisha apaswi kusubili injili kwa kutusi watu haipendez bwana Yesu alituagiza kupenda adui zetu na kuwaombea mema.Hata ukijua yeye sio mkuu wa mkoa,sio mtumishi wa umma,nk
Vyeti vya bashite vimegoma kuonekana nini!
Ova


eti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University. Ndio huyo wa kwanza aseme wazi maana wengine tumjua mtoto wa huku kwetu na kasoma pamba na hapo ndipo aliposoma makonda na alikua mwimba kwaya wa kanisa fulaniMtoa mada,ktk historia wenye vyeti fake na elimu ya kungaunga wako kwenye vyama vya siasa. Hakuna watu wa namna hiyo kwenye KANISA.
Acha kutokwa na makamasi!watu wanataka juaeti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University.
Maana mtaka cha uvunguni sharti ainame ebu aoneshe mfano wa kuonesha vya kwake ndio tuzungumze ya RC
Kuteleza vip akasema vyeti viko ofisini kwanini mchungaji anakuwa mswahilj hivyoKwaweza kuwa kuteleza huku. unachoshikila hapa ni ujinga.
Google hajaweka na ukiona mtu anaficha historia ya elimu yake ujue kuna jamboIPO google utaipata au mpigie atakupa
Nna wasiwasi huyu ndo BASHITE mwenyewe,vinginevyo ni jamaa yake wa karibu kaamua kuzama nayeBasi mwacheni makonda na yeye apige kazi, kwani mliambiwa kukemea madawa ya kulevya kunahitaji cheti ? Mfyuuu
We huoni povu linavyomtoka sasa hvi au?Ilitabiriwa na manabii kuwa dola ya Warumi ingesambaratika na huu ndio mwako wa kusambaratika. naona umeamka na Gwajima leo,lakini mbona mlivyomtangaza na anabwia ngada yy hakutokwa na povu kama hilo lako? Mwokoe Daudi Alberth Bashite povu kwa Gwajima halimwondolei tuhuma.