naona umeamka nalo, unataka vyeti vya gwajima vya kazi gani uliambiwa kwenye kuombea mapepo kuna hitaji digrii, hapo ni upako tu.Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Sina nia ya kumtetea mtu lakin napenda kuona ukweli huyu anayesema mwenzake zero yeye vip? Ili mimi nimuelewe ni kheri kufahamu elimu yake pia asije akawa kipofu anamcheka mwenye chongo hali ya kuwa yeye haoni kabisaNenda kanisan kwake kamuulizee . naona safari hii amewashika pabaya gwajima , Vp unataka kumtetea mwenye vyeti feki nin
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.
Naomba msaada kwa wanaojua..
Ushachelewa.. Kwani Daudi alisomea ukuu wa mKoa?Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.
Naomba msaada kwa wanaojua..
Hata ukijua yeye sio mkuu wa mkoa,sio mtumishi wa umma,nkSina nia ya kumtetea mtu lakin napenda kuona ukweli huyu anayesema mwenzake zero yeye vip? Ili mimi nimuelewe ni kheri kufahamu elimu yake pia asije akawa kipofu anamcheka mwenye chongo hali ya kuwa yeye haoni kabisa
Nenda kanisani kwake kawaulize waumini wake ndio wako responsible na wasifu wake ... coz wasifu wake na vyeti vyake havitusaidii wala kutupunguzia sisi wananchi wa DSM kwa sababu vina athari ya moja kwa moja kwa waumini wake.Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.
Naomba msaada kwa wanaojua..
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.
Naomba msaada kwa wanaojua..