zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
JF-Stress Free wallahi!

Kazi kweli kweli, haya kazaneniMbona mnamfuatilia daudi pia , yatupasa kufuatilia kila mtu anayemfuatilia mwenzake , mla huliwa
Imeandikwa katika Yoshua 1:8 '' Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.''Ni
Nina maswali mengi kuhusu Gwajima ambayo hayana majibu.Ila kila mtu na imani yake ingawa wengine wanaabudu idols.
Jamaa mjanja sanaAlizaliwa Lubumbashi,Congo miaka ya 80,kisha wazazi wake walikimbia vita na kuja kuweka makazi Geita ambako alisoma darasa la kwanza mpaka la tano akawa ameacha shule kwa kukosa uniform.
Akawa anaishi kwa kufanya ufundi ujenzi kabla hajaja Dar es salaam kutafuta maisha.
Alipata wazo la kufungua kanisa baada ya hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu miaka ya 2000 akawa ameyapatia maisha.
Ya Daudi kwanza huyo wa Kazi ganiTuanze na cv zako
Ni kweli kabisa.Waumini utawajua tu kwa mapovu yao
Yaani wala usipate shida... We nenda tu kanisani kwake mtafute, hana nongwa yule atakupa historia tangu alipoingia duniani siku ya kwanzaWadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Yana raha yake sometimesUnajua mi naona wabongo tunapoteza muda mrefu sana kujadili watu wenye mafanikio yao kisha tunasahau ya kwetu tubadilike
gwajima kajiajili sasa wewe Cv yake itakusaidia nini sababu hatumii kodi ya wananchi yule anatumia akili yake kupata mkate wake wa kila sikuWadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Unataka kusomea uchungaji?Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........