Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Ukitaka kujua machache kuhusu elimu yake fika pale Buswelu Secondary School wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza alipomaliza form 4 mwanzoni mwa miaka ya 1990 akiwa na mwenzie baba God wa Mwanza. Tena wakiishi nyumba za jirani. ( kwa mzee Mugyabuso na kwa mzee John "Grocery")
 
Yule ata mkijua haitasaidia atakm ka foji vyeti......maana hajaajiliwa na serikali na anaruka na helicopter hasa msipoteze mda ..gwajima muachen tu
 
Watu wengine hata huyo Allah wenu hamumwogopi???Mnapiga uongo kwa kwenda mbele,Kabla mkamzushia Amekufa na tena sasa mnamtungia CV ya uongo ndiyo maana huyo Allah wako haaminiki maana watu wakikuona wewe uko Machepele sasa wewe utaniambia nimwamini unayemwamini wewe??Acheni Uongo wenu
Gwajima Ni msukule tosha Kama waumini wake..
 
Mtu ukienda shule kidogo angalau unakuwa na kitu tofauti kabisa yaani, huwezi tukana mbele za watu hovyohovyo hivyo.
Halaf wale waumin wake looohh.... ndio wanakuwa wamelishwa nini vile .......?
Limbwa..............!!!!!!!!
 
eti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University.

Maana mtaka cha uvunguni sharti ainame ebu aoneshe mfano wa kuonesha vya kwake ndio tuzungumze ya RC
Ngwajima kaajiriwa na serikali? Kama ndio kahakikini vyeti vyake. Kama hapana, anzeni na Makonda then muende kwa ma-DC na RC wengine
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Unataka kutuondoa kwenye mstari, sisi tuko na BASHITE bwana ndo habari ya mujini; huyo Gwajima atajuana na waumini wake sisi hatuhusu. Sisi na mungu wetu wa Dar!!!
 
Gwajima Ni msukule tosha Kama waumini wake..

Usilaani usije ukalaaniwa.
Unatoa maneno ya kashfa kwa mtumishi wa Mungu wa Israel?
Unajitambua kweli wewe?

Ngoja yale madude Yesu anayoyaelekeza baharini yataelekezwa kwako
 
Mtu ukienda shule kidogo angalau unakuwa na kitu tofauti kabisa yaani, huwezi tukana mbele za watu hovyohovyo hivyo.
Halaf wale waumin wake looohh.... ndio wanakuwa wamelishwa nini vile .......?
BASHITE alikuwa anatukana watu hadharani tena waajiriwa kama yeye mbona mlikuwa mnamtetea? Kaeni pembeni na huyo Gwajima wenu, sisi wetu BASHITE.
 
Sifa ya kuwa mchungaji ni kujua kusoma na kukariri vifungu vya biblia, kuwa askofu in kuwazidi kete wenzio kanisani.
Sasa CV ya nini?
 
Gwajima na waumini wake akili zao wanazijua wenyewe eti wanaenda kuimba pambio mahakamani
 
Huyu sidhani hata kama alisoma, ni msanii tu anayecheza na hisia za waumini wake. Si unawaona waumini wake walivyo, yaani wamekaa kimsukule sukule hivi. Kila wanacho amrishwa kufanya wao wanafanya tena bila hata kufikiri wakati akili wanazo. Nabii ni Yesu na Mtume Muhammad si hawa wa kidigitali.
wewe muumini wa nani aisee au unavaa magauni ya uarabuni??
 
Wasalaam ...JF sio sehemu ya huruma au haya.Sehemu hii inatoa ruhusa kwa kila mtanzania kutoa hoja mujarabu na hpja mbadala kuhusu mustakabali wa taifa.Anapotokra mtanzania mwenye wadhifa na uwezo wa kupindua hoja za kitaifa na kuzifanya hoja binafsi akilenga kujikwamua ni lazima tumuulize na tujiulize maseali mazito .Gwajiba ameshaweza mara kadhaa kutoa hoja zinazoleta mijadafala y a kitaifa.Kumbuka kuhusud gwajima vs u dr Slaa,Gwajima vs Pengo n.k .Keawa ufguipi inaonesha gwajima ni genious flani hivi.Sasa ni vyema tukajadili e'limu yake kwa kina kuanzia shule ya awali anayoaituamia kuaandaa hoja na mijadala ya kitaifa.
 
Unataka kutupotezea muda.....ngoja kwanza tumalizane na mungu wa daresalama makonda aka ZERO aka BASHITE
 
Back
Top Bottom