Nakushauri ufanye maditation,pia ufuate maelekezo ya hao wataalamu wanaokupa counseling,pia uwe wazi kwao ili kiini cha tatizo lako kitambuliwe.
Inawezekana una upweke au huna furaha,unahitaji kampani ya marafiki supportive na kujiweka karibu na watu wako wakaribu ambao unajua wanamapenzi na wewe,jichanganye.
Pia tafuta hobbies na vitu vipya vya kufanya,usipate muda wa kufikiria hizo fikra angamivu.Tembelea wagonjwa hospitali,fanya kazi za kujitolea etc.
Mlaani shetani kila unapopata nafasi,kemea mawazo hasi yanapokuja kichwani,amua kwa moyo wa dhati kubadilika.