MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

Ua mtu mmoja uendezako gerezani ukafi.........rweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee weeeeeeeeeeeeeeee hadi akili zikukae sawa.
 
You are a psychopathy...

Ungekaa hospitali tuu kwanza hadi upone... counseling peke yake haikutoshi...


Cc: mahondaw
 
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
Inabidi ukafungwe jela muda mrefu ndio salama kwako na hao wengine wanaokuzunguka.
 
Inabidi ukafungwe jela muda mrefu ndio salama kwako na hao wengine wanaokuzunguka.
Jela ya binadamu au ya Mbuzi? Kama ya binadamu tatizo linabaki palepale kwa kua wale nao ni watu. Nimeamua kuchukua seriously ushauri wa maombi na naamini hii hali itaondoka Mara moja
 
Danganywa na ivyo bange zako uje uingie mikononi mwangu nikuue wewe muuaji fake
 
Back
Top Bottom