MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

pole mkuu ila amini chanzo ni dhambi narudia tena chunguza chanzo ni dhambi mkuu moyo wako umelishwa mabaya jichunguz km mkristo lini umekanyga kanisan km muislam lini umeenda msikitini maan huko moyo ndio hulishwa vilivyo bora mkuu hy tu
 
pole mkuu ila amini chanzo ni dhambi narudia tena chunguza chanzo ni dhambi mkuu moyo wako umelishwa mabaya jichunguz km mkristo lini umekanyga kanisan km muislam lini umeenda msikitini maan huko moyo ndio hulishwa vilivyo bora mkuu hy tu
Nitafanya hivyo, ahsante
 
Bora wamdedishe kabla hajatumalizia madogi yetu mtaani. Mi kanimaliza hapo alipomyonga nyau... dah
Aisee sikuisoma hii mada nimejibu comment yako hapo kwa paka umenishawishi nianze kuusoma uzi.
 
ua tu, mana hawachelewi kuuliza aliyekufa kafa? Sijui wanajibuje mana hata aliyeigiza kufa alishindwa kuamka.
 
Mkuu Log out unapendelea kuangalia nini hasa?

Ni burudani gani hasa unayopendelea?

Umekulia katika mazingira yapi?

uhusiano na wazazi wako ukoje?

una marafiki wa aina gani?

umewahi kutendewa kikatili?

umewahi kufikiria kujiua?

please nijibu maswali haya kwanza.
 
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
"Nawapenda"

NAKUPENDA[emoji58]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom