Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
- #21
Nitafanya hivyo Mpendwa, ahsanteHilo ni pepo Mkuu,unapaswa kuombewa
Nitafanya hivyo Mpendwa, ahsanteHilo ni pepo Mkuu,unapaswa kuombewa
Sitaki kuua wala kuuawa ila huwa napenda kufanya majaribio kwenye mwili wa binadamu nijue ninaweza kujilinda kwa namna gani.Mkuu nataka ushauri namna ya kutoka hapa , kulikoni wataka kuuawa weye?
Kama una madeni lipia tu mkuu hahaha
Wewe pia una tatizo kama lake,matatizo hayawezi kusuluhishwa kwa kuongeza tatizo(isipokuwa maths)...Cha muhimu kutaneni msaidiane kwa njia nzuri.Serious kama utaweza nipe miadi ya kukutana nawe sehemu ambayo tutakuwa wenyewe ili nikuue au uniue.
Kama uko tayari ni-PM.
Hahaha mkuu wangu Mimi natafuta kutoka kwenye hii hali, sitaki kujua wala kufa ilhali majukumu bado ni Mengi na umri ni Mdogo, nitamwachia nani?Anachowaza jamaa kipo hata mimi kuna muda huwa nawaza kuvunja sana watu.
Kuna kipindi bi mkubwa alikuwa anasumbuliwa na ng'ombe wake, akaniambia naomba nisaidie kuadhibu huyu ng'ombe, alikuwa ana uzao mmoja.
Nilikuwa na hasira kama vile napambana na mtu, huwezi amini yule ng'ombe aliangushwa chini na nikapiga ngumi, mwenye ng'ombe akaja kumpa msaada.
Napenda sana kupambana na watu wa namna hii.
Kama anaweza atafute siku tuonane sehemu yenye watu wawili nimuue au aniue.
Ukiona umecheka kwny post yako ujue mawazo ya kuua yameanza kupungua mkuu,hahah.
Ahsante Sana mkuu. Nitafanya hivyoPole kwa changamoto,nakueleza pepo shetani wa kuua na kudhuru lipo linakutafuta.
Nakumbuka 2018 sitasahau nilipatwa na hali kama hiyo but sio hiyo.
Nini nilifanya.
Nilikuwa naamka saa 3am early najiuliza without kuwasha taa or kuongea najipa tafakari sana,
Nilimaliza naomba Mungu wangu kwa Imani yote .
Haikupita 3month nikawa normally totally .
Nashauri jipe muda kuchimbua nini ni chimbuko la hali hiyo nasema lazima utakuwa sawa mno.
Wewe pia una tatizo kama lake,matatizo hayawezi kusuluhishwa kwa kuongeza tatizo(isipokuwa maths)...Cha muhimu kutaneni msaidiane kwa njia nzuri.
Una mpenzi ?? Namaanisha una demu??Mkuu, sina fedha mabilioni, lakini fedha za kuendesha maisha ya kila siku ninazo. Sina familia, Nina umri wa miaka 27, male hata naogopa kuingia ktk familia hadi nitatue hili
Hahaha mkuu wangu Mimi natafuta kutoka kwenye hii hali, sitaki kujua wala kufa ilhali majukumu bado ni Mengi na umri ni Mdogo, nitamwachia nani?
Ndio na tunahusiana vizuri kabisaUna mpenzi ?? Namaanisha una demu??
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda

Kama unavyojiita Log Out basi hizo hisia zi-Log Out........Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
Wewe ni Jinsi Gani Mku, Me au KeHabari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
hahahahaha angekuwa karibu yako ungeuuaJitangulize wewe kumamayo
Mimi ni meWewe ni Jinsi Gani Mku, Me au Ke
Sitaki kuua mtu mkuu natafuta tiba ya hali hiiDah kuna mtu anatusumbua sana hapa nchini kwanini usicheck nae kwanza.
Angekuwa karibu leo ungeanza kuua huyu.. mimi nikushauri Ufunge na kuomba ata ikiwezekana kwa siku 3 mfululizo au siku 7 ufunge kila siku huku ukiomba nkuambia Mungu ni mwaminifu utapata kitu na kama ni kitu cha hospitali utashangaa na mtaalam umempata.. MUNGU HASHINDWI NA LOLOTE ukimwaminiHapo Ndio umeshauri wewe mlaaniwa?
Laana ya kumttomba mamayo haitakuacha salama
Ok , wanawake niviumbe ambao,, Akiwa anakupenda ,atakupa aman na furaha .Ndio na tunahusiana vizuri kabisa