Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
- #101
Hapana Mimi si mlaji wala mkulima au trader wa korosho mkuuMkuu hisia zako haziusiani na korosho
Hapana Mimi si mlaji wala mkulima au trader wa korosho mkuuMkuu hisia zako haziusiani na korosho
Hahahahahahahha dahAnachowaza jamaa kipo hata mimi kuna muda huwa nawaza kuvunja sana watu.
Kuna kipindi bi mkubwa alikuwa anasumbuliwa na ng'ombe wake, akaniambia naomba nisaidie kuadhibu huyu ng'ombe, alikuwa ana uzao mmoja.
Nilikuwa na hasira kama vile napambana na mtu, huwezi amini yule ng'ombe aliangushwa chini na nikapiga ngumi, mwenye ng'ombe akaja kumpa msaada.
Napenda sana kupambana na watu wa namna hii.
Kama anaweza atafute siku tuonane sehemu yenye watu wawili nimuue au aniue.
Ngoja tukutane tuone nani ataleta humu uzi wa kutoa taarifa za kifo cha mwenzake.Hahahahahahahha dah
Nataka kumwonesha mauti yalivyo![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] mapambano mema mrejesho muhimu
Mwacheni nikutane naye tuuane.Maombi ndo tiba yko una roho ya mauti inakuandama
Ujue nina hamu yaani tungekuwa wenyewe sehemu hata porini bila ushahidi tupigane anayekufa afe mzima arejee nyumbani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesoma post au title tu na kuja kurusha kejeli zako ndugu?Bangi ambayo haijakomaa uku tunaita Vula ndio mleta post amevuta kama unataka kuua anza na wazazi wako Kwanza
Wewe na huyo mwenzio wote hospital Kuna wahusu 🤣🤣🤣Ujue nina hamu yaani tungekuwa wenyewe sehemu hata porini bila ushahidi tupigane anayekufa afe mzima arejee nyumbani.
Wewe na huyo mwenzio wote hospital Kuna wahusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]