MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

Angekuwa karibu leo ungeanza kuua huyu.. mimi nikushauri Ufunge na kuomba ata ikiwezekana kwa siku 3 mfululizo au siku 7 ufunge kila siku huku ukiomba nkuambia Mungu ni mwaminifu utapata kitu na kama ni kitu cha hospitali utashangaa na mtaalam umempata.. MUNGU HASHINDWI NA LOLOTE ukimwamini
Ahsante Sana mkuu, I am humbled kwa ushauri huu muhimu
Nitaleta mrejesho.
 
We dini gani ? Unamwabudu Mungu au shetani? Mtu anayeabudu Mungu hawez kuwa na mawazo muflis kama hayo.
 
We umejiita kaffir unataka nikujibu nini zaidi? Nyuzi zipo maelfu, kama huna la kuchangia unaweza kutulizana hapo usiharibie watu siku
 
Una ugonjwa unaosababishwa na homon fulani hivi, hiyo homoni ikizidi ndio mtu huwa hivyo na wakati mwingine unaweza jiuwa mwenyewe au kudhuru wengine kama hali inavyo kutuma sasa, hivyo nenda hospital mapema , maana unaweza jitundika au kujichoma kisu au hata kujichinja mwenyewe.
 
Nimeenda tayari hospitali na naendelea na msaada wa daktari. Kwanini unanitukana?
Nakutukana? Wewe umejitukana zaidi!!!! Usidhani kila tatizo ni kutangaza jf !!; wengine tuna majonz ya kuuawa ndugu zetu na watu kama wewe na we we unadai unataka kuuwa watu...bahati yako sina uwezo wa kukuidentify..ningekuripoti kabisa polis
 
Kwanza pole kwa kukukumbusha machungu,sijajitangaza Bali nimeomba msaada. Hospitali nimeenda na tayari taarifa zipo polisi ndugu. Nipo kwenye program ya counselling na hapa nimepewa ushauri wa kufanya maombi na nitafanya hivyo
Hivyo wala usihangaike kunitusi ndugu
 
Uko mkoa gani?
 
[emoji848] [emoji848] Dah nimekutamani wewe jamaa! Basi tu Mungu akusaidie uwe Normal.
 
Tuku saidie nini sa sisi mkuu...
naijatwittersavages-20181203-0005.jpeg
 
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
Nawaza tu ungekuwa askari policcm.!
 
usizizuie hizo hisia mkuu!
tena nakupendekezea sehemu nzuri ambayo waweza enda timiza haja yako kwa raha mpk ufurahi ni kwenye lile jengo lililopo pale Makumbusho...hii huduma hupatikana pale kwa ubora wa hali ya juu
 
Mleta mada inawezekana una vinasaba (DNA) za Kanibalism
 
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti kichwan, paka wangu nimemnyonga na waya na mijusi nimeua isiyo na idadi. Mwanzo nilihisi ni kawaida lakini baada ya kuanza kupata hisia za kudhuru watu nimestuka na kuhisi hatari iliyopo mbele.
Nilijipeleka mwezi ulio pita hospitali Muhimbili na nikaonana na mtaalamu wa magonjwa ya akili na hadi sasa nipo kwenye counselling. Hata hivyo,,hali bado haijabadilika sana na nahofia nisije kudhuru watu au kujidhuru. Kama kuna mwenye ushauri wa kunisaidia nitashukuru.
Kama huna la kunishauri basi waweza kupita tu sihitaji kuongezewa stress za matusi na kejeli.
Nawapenda
Nenda hospitali omba kuchunguzwa kama una TEZI DUME kama wewe ni "MALE"kweli kama ulivyojitambulisha nina amini baada ya zoezi hisia zako za KUUA zitabadilika permanently.
 
Back
Top Bottom