Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu, habari yenu wakuu.

Ndugu yenu mwenye life style mbaya na mwenye kujikatia tamaa baada ya kusomesha mtoto wakike kwa lengo la kumuoa na hatimaye kunipiga chini nilijikuta nikichukia sana wanawake na mweye msongo mkali wa mawazo na huzuni tele moyoni.

Akili na nafsi yangu viliathirika pakubwa sana , sasa nimejitahidi ila hisia za kimapenzi zimepotea kabisa naombeni ushauri maana watoto wakike wananidharau kweli na kujitenga nao siwezi.

Ni Miezi mitano sasa imepita najikuta Nimepoteza uwezo wa kihisia na mwanamke hata akivua nguo naona kawaida kabisa na hakuna kinachoendelea , nipo nipo tuu sahivi.

nimesha laumiwa na wanawake wapatao watatu (03) mpaka sasa na wengine wananiuliza hivi wewe upo sawa kweli. Na wajibu nipo sawa ni kuna mambo tuu hayajakaa vizuri

wanashangaa sana nipo nipo tuu sieleweki yani hata wakinipapasa au kunivulia nguo akili inakua mbali sana kimawazo asiye na raha wala kusisimka kimapenzi kwa lengo la kunyandua.

Nipo hapa kuomba ushauri wenu kwani kwa upande wangu nimeshajitahidi sana kucontroal mawazo ila hisia za kimapenzi ndiyo bado hazijarudi kama awali wakuu.

Kama kuna namna ya kufanya hisia zangu ziamke kama hawali naombeni msaada wakuu.

Hii hali inanifanya nianze kuwa kwepa sana wanawake japo naona siyo sawa kufanya hivyo.

Anaye fahamu jinsi ya kurudisha hisia za kimapenzi zilizopotea au kuathiriwa na msongo mkali wa mawazo anisaidie wakuu.

Asanteni
 
Kaa chini uandike msimamo wako dhidi ya wanawake vizuri kisha urudi tukushauri.

Asante
 
Shida hapa ni moja tu nayo ni maokoto.
 
Nataka nioe niwe na mke sasa ila kabla ya kufanya hivyo nataka hisia zangu zikae sawa kwanza zirudi kama hawali.

sema chochote mkuu cha kunisaidia
Mara ngapi wamesisitiza kuhusu kumsomesha mwanamke? Sawa umeshakosea kubali uhalisia na kubaliana na yaliyotokea, jichanganye na watu mbalimbali, fanya mambo mbalimbali uliyokuwa unafurahia kuyafanya, usitafute mwanamke kwa Haraka ili kuziba pengo, fanya mazoezi na kula vizuri, pumzika, Jipende na kuwa msafi, jitoe out, au una safiri kidogo vacation, kuwa na Mtizamo chanya, muda ni mwalimu mzuri utapona tu, utakutana na mtu sahihi kwako utasahau yote haya
 
Ndugu zangu, habari yenu wakuu.

Ndugu yenu mwenye life style mbaya na mwenye kujikatia tamaa baada ya kusomesha mtoto wakike kwa lengo la kumuoa na hatimaye kunipiga chini nilijikuta nikichukia sana wanawake na mweye msongo mkali wa mawazo na huzuni tele moyoni.

Akili na nafsi yangu viliathirika pakubwa sana , sasa nimejitahidi ila hisia za kimapenzi zimepotea kabisa naombeni ushauri maana watoto wakike wananidharau kweli na kujitenga nao siwezi.

Ni Miezi mitano sasa imepita najikuta Nimepoteza uwezo wa kihisia na mwanamke hata akivua nguo naona kawaida kabisa na hakuna kinachoendelea , nipo nipo tuu sahivi.

nimesha laumiwa na wanawake wapatao watatu (03) mpaka sasa na wengine wananiuliza hivi wewe upo sawa kweli. Na wajibu nipo sawa ni kuna mambo tuu hayajakaa vizuri

wanashangaa sana nipo nipo tuu sieleweki yani hata wakinipapasa au kunivulia nguo akili inakua mbali sana kimawazo asiye na raha wala kusisimka kimapenzi kwa lengo la kunyandua.

Nipo hapa kuomba ushauri wenu kwani kwa upande wangu nimeshajitahidi sana kucontroal mawazo ila hisia za kimapenzi ndiyo bado hazijarudi kama awali wakuu.

Kama kuna namna ya kufanya hisia zangu ziamke kama hawali naombeni msaada wakuu.

Hii hali inanifanya nianze kuwa kwepa sana wanawake japo naona siyo sawa kufanya hivyo.

Anaye fahamu jinsi ya kurudisha hisia za kimapenzi zilizopotea au kuathiriwa na msongo mkali wa mawazo anisaidie wakuu.

Asanteni
Bado unayo mawazo . Ukiacha hayo mawazo nafikiri utakua sawa.
 
Tulishasema mwanamke mpenz hasomeshwi lakini vijana hamuelew kazi kukaza mafuvu mwisho wasiku mnakuja kulia humu jukwaani
Kwanini huwa hamuelew tukisema mpenz hasomeshwi
Kama unataka kusomesha somesha mwanamke ambae umemzalisha angalau watoto 2 na umemuoa hapo wewe somesha kama umeamua kusomesha hata akija kuondoka kwako sio mbaya watakao kuja kunufaika ni watoto wako uliozaanae sababu huyo ni mama yao
Sasa wewe unakwenda kuokota limwanamke huko unaanza kulisomesha kiukweli hata mimi sina msaada nawewe
 
Huyo aliyekukimbia umewahi kusex nae? Kama hapana una tatizo la nguvu za kiume
Nimewahi kusex naye na nilikua normal sana, tatizo limeanza nilipo pigwa chini nilikua ni mtu wa life style mbaya na mwenye msongo wa mawazo. Nimepata mabint kadha wa kadha ila hisia nakuta sina na nikiforce sana basi kibishi tuu..

Miez hii mitano iliyopita ndiyo naona nimepoteza hisia kabisa baada yakukutana na mabinti watatu tofauti yani hisia hakuna na yote hayo najua tuu ni mapito niliyopita
 
Tulishasema mwanamke mpenz hasomeshwi lakini vijana hamuelew kazi kukaza mafuvu mwisho wasiku mnakuja kulia humu jukwaani
Kwanini huwa hamuelew tukisema mpenz hasomeshwi
Kama unataka kusomesha somesha mwanamke ambae umemzalisha angalau watoto 2 na umemuoa hapo wewe somesha kama umeamua kusomesha hata akija kuondoka kwako sio mbaya watakao kuja kunufaika ni watoto wako uliozaanae sababu huyo ni mama yao
Sasa wewe unakwenda kuokota limwanamke huko unaanza kulisomesha kiukweli hata mimi sina msaada nawewe
Nishakosea usihukumu mkuu.. nisaidie mawazo ndugu yangu na dharauliwa eti
 
Back
Top Bottom