MONRACE
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 641
Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
