tafuta pesa... achana na mambo ya kijinga hayo
Njooo PM! Kama uko Dar niambie sehemu gani unataka nikutoe out!
Kuna msemo: mtu akisema chanini wengine tunasema ntakipata lini! Njooo pm mwaya ukatulizwe!
If you are having hard time then Ni zamu yako na wewe.. pitia na wenzio wapumue
Iache ikufunze.. usitake kupunguza maumivu kwa haraka haraka.. pain bleeds weakness
Umia ujae!
Mahusiano kwa sasa kwa kweli I don't daaare...Usijali sana,ni kipindi cha mpito tu hiki
Utafika muda hii hali unaifeel sasa hivi itakuwa ni history....jipe muda,usikurupukie mahusiano mengine
/igzakly/Do not stress urself over things you can not control...
Ni sawa kutokuwa sawa. Ni ubinadamu tu na time ikifika utasahau na utaendelea na life lako.
yataisha ni mtihani tu unapitia , na binadamu tupo tofauti , utasahu tu na maisha yataendelea.
Amekupa sababu gani ya kuachana na wewe? Itakuwa wewe ndio ulivuruga katika mahusiano, au amepata mwingine anayemfurahisha zaidi yako wewe. Ukiingia kwa mapenzi, jiandae kuumizwa. Hakuna namna ya kuondoa maumivu haraka. Ila ACHANA NAYE KABISA NA WALA USIWASILIANE NAYE HATA KIDOGO.Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
usimchukie kupitiliza kaa tulia relax anza kujipenda mwenyewe then mengine yatajipanga taratibu tu , ukimuona nyani kazeeka ujue ka kwepa mishale mingi.Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sio ushauri mzuri. Iko siku watamzingua wote, halafu ataumia maumivu mara mbili kwa wote. Halafu atakuwa ana-cheat labda kama akiwa mkweli kwa wote kwamba kila mmoja ana mpenzi mwenza. Asipokuwa mkweli ndio hio ku-cheat na wakija gundua, wanamwacha kwa mkupuo na anaumia double.Always Love with a gape. Also make sure that yu have 2 lovers in one time. Give them a tight timetable and make sure that they don't meet. Kwisha. Akikuzingua huyu unamaliza 2 weeks ukijitayarisha kutega jinga jingine. Sisi vidume huwa hatuumii sana kwa kuishi na ujanja huo
Yap. Ukianza mapema, utamuumiza huyo mtu. Tulia kidogo. Sababu pekee ya kuanza mapema ni kama utapata mtu bora zaidi yake katika kila nyanja. Hapo ni sawa tu. Lakini uwe na uhakika ni bora kwelikweli na anakupenda zaidi yake, na anachangia mambo zaidi katika maisha yako zaidi yake nk.Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years
Sent using Jamii Forums mobile app
OMG...Siez Fanya hvi et...woooooi I'm deadAlways Love with a gape. Also make sure that yu have 2 lovers in one time. Give them a tight timetable and make sure that they don't meet. Kwisha. Akikuzingua huyu unamaliza 2 weeks ukijitayarisha kutega jinga jingine. Sisi vidume huwa hatuumii sana kwa kuishi na ujanja huo