Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,690
Mm sijasema uanzishe mahusiano mengine dear ,, nimetoka kuachana na mume wangu wa ndoa , kipi unadhani kinauma kati ya ndoa na mahusiano tu???
Kuna mahali ulikosea ulipoona dalili penzi linalega lega ulitakiwa kuanza kuchukua tahadhari ,kuset akili yako na kujipanga na maisha mapya ,
Muda ni kila kitu kwenye maumivu kama haya ila tu usitake kujua habari yake yoyote ile mm niliblock watu kila kona ,yani aloniletea habari zake ni block tu nilijiweka mbali nae sikujua yuko wapi wala anafanya nn , nikasahau kila kitu ,nikasonga mbele sasa nimeanza maisha upya sijutii kwa lolote lile namshukuru Mungu kwani nilichagua kupata mwamvuli wangu ,najikinga na jua kali
Sent using Jamii Forums mobile app

Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
.mimi hapa nna PHD za break up na mapenzi siwezi kuyaacha ni matamu sana. 

. Pia muanze kutusema jinsi tusivyo waaminifu..mkoje nyie?
.... 

moyo ulitaka kuburst yan...