Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137


22 years mbichi kabisa huyu. Bado hajakutana na break up hizo mbili ni trailer tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakueleza ukweli ,, jua tumekutangulia na alowah kuona jua kawahi tu
Kumchukia Ex ndo mwanzo wa kumove on.
Pole mwaya ndo kwanza break up ya pili.mimi hapa nna PHD za break up na mapenzi siwezi kuyaacha ni matamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda hii fasihi
Yan haya maneno ni machache ila yanajitosheleza kutiwa kwenye mazingatio,kila unachokitaka ni hiki hapa.Ulikata mti hujapanda mti lazima ukose kimvuli na utaungua na jua mpaka pale utakapojisogeza kwenye kibaraza cha jirani ama upate mwamvuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mapema hivi kafungua uzi ,, akija kufikisha 35 ataenda BBC atulie kidogo ajue kwa nn mapenzi yanauma na si ugonjwa22 years mbichi kabisa huyu. Bado hajakutana na break up hizo mbili ni trailer tu
Sent using Jamii Forums mobile app


somehow napata katumaini...maana mpaka naogopa hata hyo Sio lazima apitie idadi zisizohesabika za break ups mlizopitia nyinyi u never know mtu atakaempata baada ya hapa akawa wa ndoa so msimtishe kulingana na uzoefu wenu kwenye mahusiano yenu
Mapenzi hayana fomula akijitambua,kujiheshim na kujua nini anataka atampata the one she'z meant to be with
Tuko Vice VersaSana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
22 years hapo bado mtoto una date for fun subiri ufike 25 unawaza ndoa alafu kuna mjinga yeye anawaza kupita tu. Hapo ukiachwa unajaza ndoo kwa machozi
Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu date na wanawake usiowapenda full stop.Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
thread closedOnly time can heal broken heart
Jr![]()
Always Love with a gape. Also make sure that yu have 2 lovers in one time. Give them a tight timetable and make sure that they don't meet. Kwisha. Akikuzingua huyu unamaliza 2 weeks ukijitayarisha kutega jinga jingine. Sisi vidume huwa hatuumii sana kwa kuishi na ujanja huo
Kapime tezi dumee. MkuuSana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuidhulumu nafsi yako. Unahitaji mtu wa kutuliza maumivu yako. Usipofanya hivyo hayo maumivu yataendelea kwa muda wote huo wa 2-6yrs. After all baada ya miaka sita mvuto wako utakuwa umeshapungua sana. Jipe moyo, fungua moyo kwa yeyote atakayekidhi vigezo vyako, hata akija sasa.Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dini flan wanaruhusu kuoa wake 4 kwa siku. Hata kuna mh flan hivi alioa/alifunga ndoa 2 kwa siku moja hapa hapa Tz kwani hiyo dini inaruhusu. Sasa kwa nini weye mwanamke usiwaambie wazi kuwa, Utawamudu ila wakubali ratiba yako kwao?? Si unawaweza? Na haswa ka ni waume za watu?? Nadhani kama kuna ndoa za contract basi uwepo na mchepuko wa contract.Huo sio ushauri mzuri. Iko siku watamzingua wote, halafu ataumia maumivu mara mbili kwa wote. Halafu atakuwa ana-cheat labda kama akiwa mkweli kwa wote kwamba kila mmoja ana mpenzi mwenza. Asipokuwa mkweli ndio hio ku-cheat na wakija gundua, wanamwacha kwa mkupuo na anaumia double.
Mahusiano yeyote yasiyo rasmi ni umalaya tu. Waweza uita vyovyote ila neno rahisi ni umalaya. Make it oficial and thing will be okMkuu Huu utakuwa UMALAYA na sio mahusiano