Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

JARIBU KUNYOOSHA MAELEZO YAKO.TUPE PIA NO.YA MKUU WA SHULE,TUTAJUA JINSI YA KUTAFUTA UTHIBITISHO KAMA KWELI KUNA MTOTO MWENYE HILO JINA HAPO SHULENI KWAKO
.TUPE PIA NO.YAKO YA SIMU.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa aina ya uandishibwako wewe si mama ni mwanaume !
Swali kwa nini ujipe umama ?hii ina viashiria vya udanganyifu hakuna mtoto asomae hapo bali kuna njemba inataka kutusomesha sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IPO morogoro mkundi namba za mkuu wa shule nimeshaiandika ambayo ni 0718518127 ya mm 0763107900
 
mkuu hebu weka sawa kwanza hapa:
a. jina la shule tayari umeweka,
b. akaunti namba yenye jina la shule,
c. majina kamili ya mwanafunzi,
d. ikiwezekana na "index number" ya necta form two.
Saaafi
 
Fanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
Saw sawa
 
1fcbc0629b6dc4b9dc726bf3496979db.jpg

Unaweza kutembelea link hii http://154.118.227.42:8080/mis

Alafu chagua jina la shule, kisha andika PADUCAH

kwa kifupi shule hiyo imesajiliwa kwa kidato cha 5 na 6 na mmiliki wake ni mchungaji alex mgwelele mwasile.
Sasa kwenye shule yenye kidato cha tano na sita huyo wa kidato cha tatu anaenda kufanya nini??
 
kama una hela si utume tua,,,,,, toahisia za kutapeliwa. Fanya kama unaitupa hivi. Maswali meeengiii
 
Inavyoonyesha ni kwamba, mtoa uzi ndio mwanafunzi. Hiyo picha aliyotumia ni kutaka kulainisha mioyo ya watu.

Kama inavyoonyesha kwenye necta hiyo shule ni A Level, yeye anasema binti yuko form 3.

Kingine nimeona , hiyo shule inasaidiwa na watu wa Kentucky, kuna article kuhusu hiyo shule kwenye Internet. Kwa nini usiwaandikie wakusaidie, kama wameweza kujenga shule watashindwa kukulipia ada??

Jipange vizuri kabla ya kuweka post.

Article attached.
 
Attachments

Nimeguswa sana mama yangu na huu ujumbe wako.
Naomba nikusaidie kumsomesha mwanao mpaka form 4 halafu akimaliza nitajimilikisha mali kwa kuandikishiana kuwa nitamuoa binti yako.
Nitamsaidia hela ya ada mpaka matumizi ya binafsi shuleni,

Nitamuoa akimaliza form 4.
Tuwasiliane kwa namba hizi, ( +23476800115 )
Kwa sasa nipo nigeria, jimbo la ANAMBRA, biafra.

Iwo merin ikeje iworo osusan ife gbogbo yetunde jigon ewe ogure
ekefo akufun oswunde
Egu olane serembee nwowoa iruni gboni iboni
forosho enewe alakejo dalogun 2017.......

Inwo abeleke ijo gbona.
Boko haram? rudisheni kwanza wale 200 wa chibok.
 
Tuwekee jina la mme wako labda tunaye huku mtaani na labda ana uwezo tutamleta atimize wajibu wake.
 
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?

Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?

Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
Sure , inaleta wasiwasi hapa
 
Fanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
hapa Dr ndo umeuwa bendi,na kwavile anafanya stationary haitampa tabu kuambatanisha hizo evidence vinginevyo awe alikuwa anatest zali
 
Back
Top Bottom