Kasema ni single momKwani baba wa mtoto yuko wapi?? Au ni single mother
Kasema ni single momKwani baba wa mtoto yuko wapi?? Au ni single mother
Itakua ni ID yake ingine hii heheUache uboya
Binti yako anaitwa Alex?Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
kama wewe una mpango wa kufanya hivyo akitimiza hayo kwanini asikuonyeshe private kuliko kuyaanika hadharani maana hapo wewe ndiye unataka kumsaidia huo mzigo wote peke yako.Fanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
Haya maelezo ndiyo yatakuwa tiba ya ukwel au uongo, ngoja tumsubriFanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
Attach Pay-in slip zilizopitaMwanafunzi anaitwa Hilda Francis akaunti ni ya shule ila ndo jina la mwenyewe shule ndo utaratibu wao hata kwenye fomu wameandika hivyo,
Kwanza kwenye kuomba msaada hakuna siri,sioni kitu cha kuficha.Au wewe nawe ni tapeli.?kama wewe una mpango wa kufanya hivyo akitimiza hayo kwanini asikuonyeshe private kuliko kuyaanika hadharani maana hapo wewe ndiye unataka kumsaidia huo mzigo wote peke yako.
Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
Elimu bure siku hizi mama, nakushauri umrudishe mtoto wko Kayumba Secondary school, kwakuwa alishapata mwanga kwenye hizo shule za hela atafanikiwa tu,Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
Haipo hiyo mkuu.... serikali ni wale waliofaulu darasa la 7.Haiwezekani kumpeleka shule ya serikali kama amefika kidato cha 3 private?