Anataka kumkanyagisha miwaya dogo. Gridi ya taifa sio kitu kizuri.Kwanini unataka kuharibu maisha yako kwa starehe za muda mfupi....??
Hilo jambo unalotaka au kushawishika kulifanya ni la hatari sana kuliko unavyodhani....ni jambo linaloweza kuharibu ndoto zako na mipango yako yote ya maisha yako......
Nikiwa kama kaka yako kipenzi...nakusihi na kukuasa....umuepuke na kumkimbia huyo shetani aliyekuja katika sura na umbo kama la huyo madam...
Haa haa haaaa...watu mna vijinenoWe mgonge ila cheti na graduation utaisikia kwenye radio na tv
Sio vijineno witness ni kweli maana jamaa akijua nina uhakika huyo dogo atadisco lazimaHaa haa haaaa...watu mna vijineno
Hyo lzm itamhusuMsaada wa nini sasa?
Na mme wake akirudi anaweza akakupenda pia
Mkuu ushauri wako mzuri tatizo utekelezaji wakeOa nawe tumpende wa kwako kama ni vizuri na salama halafu uje urudishe mrejesho
pita nae tu dogo acha woga, nenda kamtafunie chimbo la mbali hapo. wenzio wanawala hao kila siku, acha woga.Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.
Msaada jamani wakubwa zangu
hahahahahHakuna supp za makusudi. Ila kama hii story ni ya kweli, then mkubalie tu huyo 'madam', cause sioni ukifikisha hata course work. Too much revealing details, you might as well have said the names and post pictures. Then again, it could be just another daydream.
Ukiacha miwaya mkuu...kutembea na mke wa mtu si miongoni mwa tabia njema kwa kijana hasa kwa umri kama wake ambapo ana ndoto kibao katika maisha yake....ni matukio ambayo huwa hayana mwisho mzuri zaidi ya majuto na vilio....lakini bado anayo nafasi ya kuyakataa yote hayo kwa kujiweka mbali na shari hiyo...Anataka kumkanyagisha miwaya dogo. Gridi ya taifa sio kitu kizuri.