mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
soma shule kijana haya mambo utayakuta ukubwani
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.
Msaada jamani wakubwa zangu
Kuna mjinga mmoja alimdharau baba yake na kujifanya anajuwa nikamtumia ujumbe achana na mke wangu akajifanya yeye ni MBABE nikamwambia kwa hilo hata Mungu atanipigania nilifanya niliyofanya na sasa hivi anawasiliana na baba wa Taifa kama hilo unalitaka ingiza team, ili uwalize wazazi wako, kama amekuwa mkuu wa chuo anayo pesa ya kukudhibiti au kutoa milioni mbili kukushughulikia wewe. Kwanza huhitaji hata ushauri kama ulifundwa vizuri na wazazi wako na kama umekuzwa na dini hilo halihitaji ushauri mwambie wewe unamuheshimu kama mwalimu wako na zaidi ya yote kama dini unayo mwambie dini yako hairuhusu mambo hayo wewe bado mdogo ila ukijifanya kidume cha mbegu haya baba tutakuimbia TANGULIA MWALIMU.
Kwanini unataka kuharibu maisha yako kwa starehe za muda mfupi....??
Hilo jambo unalotaka au kushawishika kulifanya ni la hatari sana kuliko unavyodhani....ni jambo linaloweza kuharibu ndoto zako na mipango yako yote ya maisha yako......
Nikiwa kama kaka yako kipenzi...nakusihi na kukuasa....umuepuke na kumkimbia huyo shetani aliyekuja katika sura na umbo kama la huyo madam...
Kula mzigo dogo,,mwambie akupangie na chumba kabisa ili umle vizur thn hama kabisa na chuo usichezeee bahat hiyo kula pesa na mzgo risk zipo ila kuwa makin tu
Acha kutamani wewe.haya ni majaribu lakini nitayashinda,ila madam yupo vzr ana bonge tako
asipokuelewa basiUpele humuota asiye na kucha
mtaka nyingi na saba hupata mimgi misiba
dunia hadaa ulimwengu shujaa
asiyesikia la mkuu huvunjika guu
ngoja ngoja huumiza matumbo
Kawia ufike kijana
Natafuta shule inayofundisha ujinga
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.
Msaada jamani wakubwa zangu
Upele humuota asiye na kucha
mtaka nyingi na saba hupata mimgi misiba
dunia hadaa ulimwengu shujaa
asiyesikia la mkuu huvunjika guu
ngoja ngoja huumiza matumbo
Kawia ufike kijana
Natafuta shule inayofundisha ujinga