Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
dah mkuu chuo chenyewe ndo kwanza umeanza juzi jaman...mi nlishakwambia uachanane nae huyu bmkubwa bwana!!shauri yako utaishia kutuangalia wenzio tukiingia second year
 
nakuona kabisa unaikaribia hatari, ila la hatari ni kwamba wewe mwenyewe huoni kama unakaribia hatari! btw na mimi nipo India, ntamuambia huyo mkuu wa chuo!
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Huyo mama ni mtamu au wa kawaida tu?
 
We mmege mkuu.. Lakini usisahau kuziba kabang yako na super glue.. Au Kryton t1..
 
Je, upo tayari kupewa virusi vya UKIMWI kisa unaogopa kupewa sup? Akili kichwani, uamuzi ni wako na unaonekana umefurahia kuanza hilo penzi. Utajuta. Mwanaume uhandsome upo mfukoni sio usoni dogo.
 
tia kitu ww utasupp shauri yako,kula vitu hivyo hiii sio mpaka uombe ushauri,unajilia tu vyako taratiiibu
 
We umeshindwa kutunza hii siri umeitoa hadharani ndo utakaekuja uraiani kutupima ukimwi.
Naona sasa kila kitu utakiweka jamii forums
 
Nina wasiwasi na maamuzi sahihi juu ya hili kutokana na umri wako
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Sasa we ushaambiwa iwe siri alafu unasema tena kwa watu wengi hv mme wake yupo humu ujue
 
Back
Top Bottom