Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

yan wewe kweli bado bikra..mpe mwl wako akutoe bikra!..mumewe akija atamalizia bikra ilobakia.
 
Hivi huogopi kuandika huo ujinga humu? Je kama mume wake anapita hapa nakusoma mana kwa maelezo ulotoa ni rahisi kabsaaaaaaaaaa mtu kufahamu ni nani kama anapita hapa JF, Muwe makini na maushauri mnayoomba, ungesema unasomea ualimu kungekuwa na tatizo au hata ungetaja sharia, hapo sidhani hata hayo maelezo ya unasomea nini na mumewe yuko nchi gani yanahusu? labda iwe umedanganya.
Ni vyema ajue mke wake ni mpenda penda ili achukue hatua, bora dogo kaomba ushauri.
 
Umeona picha ya mwanaume aliyefumaniwa songea? Tafuta then rudi niambie km bado unahitaji msaada
 
hiiiiiii sasa unasubiriii ninii mtafunee ..utapata raha pia A ya anatomy onyo kataa uonee utarud kwenu atakusapusha kwenye written paper C.A.T akikukosa anakusubili kwenye oral examz anakusapusha tena
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
angalia na wewe usije ukapendwa na mumewe pindi atakapo rudi.....kwakuwa wewe nikijana handsome mzuri bila shaka anaweza akakufanya mke wa pili kwa uzuri wako.
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
mwenye mke wake ni member wa jf kwa hakika atakuwa ameiona hii post popote pale alipo kama alikuwa na mashaka na mke wake anageuza muda wowote kufanya fumanizi......stay away from somebody's wife.
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Maandiko matakatifu yanafundisha dawa ya Zinaa, ni kuikimbia tu! Hakuna namna nyingine.
Kama uko serious KIMBIA, hata ikiwezekana hamia chuo kingine!
 
Dogo. ...kwanza nakupa pole mana huu uzi kama mwenye mke au huyo mke mwenyewe (Madame) kama akipitia humu kwajinsi ulivyo uandika upo wazi sana..Nahisi wahusika kama wapo ktk Jf wataunganisha dots. ..ila nakusihi achana nahiyo kitu, utaishia pabaya. .
 
Upele humuota asiye na kucha

mtaka nyingi na saba hupata mimgi misiba

dunia hadaa ulimwengu shujaa

asiyesikia la mkuu huvunjika guu

ngoja ngoja huumiza matumbo

Kawia ufike kijana

Natafuta shule inayofundisha ujinga
Mkuu umeamua kutoa ushauri kwa style ya vigano hii kaliiii
 
Akili za vijana kwa kupenda mteremko ham jambo na misemo yenu eti zalizalina mbuzi kafia miguuni embu fata kilichokuleta achana na madam
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Sio vzr. kaa nae mbali muepuke km ukoma. ni dhambi kubwa sana
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
"....Dogo Utakufa siku sio za kufa wewe"
 
Wanafunzi bwana!!
Vistory vyao vinaanza kwa kuimagine "Hivi inakuwaje madamu Fulani akinimaindi?"
Then anamwadithia mwenzake kiutani.
Story inazunguka kichwani mwake kwa muda, kisha inageuka kuwa kama kaukweli fulani hivi (Kutokaana na nguvu ya kuimagine).
Mwisho anakurupuka na kuja kuomba ushauri.
Ha ha ha ha ha
Students are always funny!!
 
Kabla hujalianzisha ungepima kabisa diameter a.k.a kipenyo cha channel o yako, uandike kwenye diary, utunze.....coz yakija kukukuta utakuwa na reference ya BEFORE and AFTER.
Mie mbavu zangu jaman
 
haaaa asa apo ushauir wa nn,,piga mambo acha undezi
 
Rizik manta shal piga mzigo huo ni aibu kwa mwanaume kutongozwa haf unasusia. piga hiyo papuchi vizuri mpaka afurahi utakuwa unapewa za A za class
 
Ukikamatwa Ujue Kuwa Jicho Limeliwa Na Picha Utapgwa Ndgu Na Jamaa Zako Watakuona Magazetini Ukiliwa Uroda
 
Back
Top Bottom