Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
pole sana mi mwenyewe yalishawahi kunikuta ila mi ilikuwa ni kitaani sio shule ..........Mama ntilie anataka kunipwelepweta
 
Kula mzigo dogo,,mwambie akupangie na chumba kabisa ili umle vizur thn hama kabisa na chuo usichezeee bahat hiyo kula pesa na mzgo risk zipo ila kuwa makin tu
 
Yaani ukiona unapendwa na wamama wakubwa ambao wamekuzidi kila kitu jua tu umekaa hovyo hovyo. What if she gives u HIV at 20years? Try tu explore the virgins around u achana na wake za watu
 
Kwa kozi unayosoma nafikiri unajua madhara ya kuingiliwa kinyume na maumbile mdogo wngu kama unafikiri ni usupa star tembea nae,utaelewa maana halisi ya mke wa mtu
 
Kutembea na mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
 
Mkubalie tu,ila ujue ndivyo na wewe unavyowakubalia washika dau 0713 yako.
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Ushauri: tafuta kopo Kubwa la Vaseline anza kujipaka huko kwenye mnyeo na tafuta mchi wa kinu kile kidogo cha kutwangia vitunguu swaumu n.k then jisongobeke huko mnyeoni [emoji53] [emoji53] . Faida ni kwamba jamaa akirudi kutoka India hautapata maumivu makali kama akiamua kukufanyia ule mchezo wa kula [HASHTAG]#0713[/HASHTAG] maana naona waume wengi wameopt kuwafanya hivyo wagoni wao[emoji57] [emoji57] .
Na mwisho kabisa ukidakwa naomba ulete feedback hapa sawa ?![emoji12]
 
Hahahahahaha.... Vijana wa siku hizi hawajielewi kbs
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.

Msaada jamani wakubwa zangu
Du! Hapo noma sana. Angalia isije kula kwako utakapodakwa.
 
mke wa mtu sumu siku hizi si unajua mchezo wanaofanyiwa wanaokamatwa na wake za watu ndugu,tunza nukta yako kama mboni ya jicho wakiiongezea size tu huna maisha utatembea na pampas
Nimejikuta nacheka kwa nguvu ofisini, eti tunza nukta yako!!!! hahahahahaha Mkuu kwa tafsida nimekukubali
 
We dogo kweli una pupa kama jina lako.... sasa hizi details zote ulizomwaga kama mumewe yuko humu jamvini si ameshajifahamu..... kila la heri.... siku nyingine uje utupe mrejesho wa kilichokukuta baada ya maamuzi yako
 
Fanya maamuzi magumu na yenye busara, pia tambua mke wa mtu ni sumu hakikisha una maziwa...
 
Kabla hujalianzisha ungepima kabisa diameter a.k.a kipenyo cha channel o yako, uandike kwenye diary, utunze.....coz yakija kukukuta utakuwa na reference ya BEFORE and AFTER.
 
Back
Top Bottom