mwanamperuzi
Member
- Oct 31, 2016
- 65
- 18
Unakoki bastola wwWe umeshindwa kutunza hii siri umeitoa hadharani ndo utakaekuja uraiani kutupima ukimwi.
Naona sasa kila kitu utakiweka jamii forums
Unakoki bastola wwWe umeshindwa kutunza hii siri umeitoa hadharani ndo utakaekuja uraiani kutupima ukimwi.
Naona sasa kila kitu utakiweka jamii forums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa we ushaambiwa iwe siri alafu unasema tena kwa watu wengi hv mme wake yupo humu ujue
Nashauri JF muanzishe FORUM YA WATOTO,wajiburudishe na HADITHI KAMA HIZO!Kuwa na kawaida ya kuchart kwa sms hakikisha haufuti sms zake akishazungumza ujinga wake mwingi mwambie haiwezekani na umwambie una sms zake za kutosha hata simu mrekodi mwambie akikuzingua utapeleka habari zake takukuru basi
Sasa we ushaambiwa iwe siri alafu unasema tena kwa watu wengi hv mme wake yupo humu ujue
Poleni kwa msiba.ndgu kuna msiba..huyu kijana mtoa mada kafariki
hayupo nasi[emoji19] [emoji19] [emoji17]
Siku ya siku utaona kilichomtoa nyoka pangoni.[HASHTAG]#Sitaki[/HASHTAG] ujinga mimiKwanini unataka kuharibu maisha yako kwa starehe za muda mfupi....??
Hilo jambo unalotaka au kushawishika kulifanya ni la hatari sana kuliko unavyodhani....ni jambo linaloweza kuharibu ndoto zako na mipango yako yote ya maisha yako......
Nikiwa kama kaka yako kipenzi...nakusihi na kukuasa....umuepuke na kumkimbia huyo shetani aliyekuja katika sura na umbo kama la huyo madam...
Nipe namba yake, maana naona wewe unaremba!Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri anataka tuwe na mahusiano ya siri,mume wake ni mkuu wa chuo wa hapa ninaposoma lakini ameenda kusoma India, kitu ninachokihofia kama nikikataa anaweza kunipa supp za makusudi.
Msaada jamani wakubwa zangu
Poleni kwa msiba.
Msiba upo maeneo gani, taarifa zaidi tafadhali
Aisiii, poleni sana wakuu na wana MMU wote kwa ujumlaKaka yake alitoa taarifa humu jana, kuwa amefariki jana jioni.
Naomba nisaidie link ya hiyo thread yenye hiyo taarifa ya msibaKaka yake alitoa taarifa humu jana, kuwa amefariki jana jioni.
Umenena sana mkuu@Odhiambo akishaoa na yy akafanyiwa kama hayo ndio atajua uchungu waku fanyiwa hivyoOa nawe tumpende wa kwako kama ni vizuri na salama halafu uje urudishe mrejesho
Mumewe akirudi atampenda zaidi siwanajidanganya nisiri itaku siosiri tena bali ni sunguraMsaada wa nini sasa?
Na mme wake akirudi anaweza akakupenda pia
Naomba nisaidie link ya hiyo thread yenye hiyo taarifa ya msiba