atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Ss mbona kama unasema ndg zako,by the way siku hizi umehamia Moro ?
Ss mbona kama unasema ndg zako,by the way siku hizi umehamia Moro ?
Hahahaha mkuu ulitaka akuharishie nin na yy akafanya kama ulivyotamaniSina hamu napo kabisa palinipa Gono si la nchi hii mwaka 2001 ( wengi wenu hapa mkiwa bado katika Zipu za Baba zenu ) na Demu ( Goma ) nililolinunua pamoja na 'Kulitindua' vizuri bado lilijisahau na Kujisaidia Haja Kubwa ( tena ya maana ) pale pale Kitandani na akasepa na kuniachia 'Msala' ambao hata hivyo 'Mtoto wa Mzizima' niliumaliza 'Kidiplomasia' zaidi.


Mie nawapenda tu wasukuma...nawapenda mambo yao..nachekaga sana...nna sehemu 2 za kuishi mkuu..base ni moro..kiuchumi kanda ya maguSs mbona kama unasema ndg zako,by the way siku hizi umehamia Moro ?
Nilitaka kusema hapa baasi umesema. Hii sehemu nzuri sana.NENDA LYAMUNGO LODGE,NI KAMA UNAENDA SUA MAIN CAMPUS ILA UTAKATA KULIA (UKIWA SUA ROAD),25k ila utalala kwa amani kabisa,nakukumbusha usilale nyumba ya 10k,utapata taabu sana;
Unaongelea Flomi Hotel au?Kuna ile ya gorofa pale katibu na shely n stand ya dodoma wanaita sijui jovu nini huko,
Bei kubwa huduma mbovu ndan pabovu...kama wamo humu wajue hivo.
Nilipokuwa napita usiku naona mataa kama yote ya rangi rango gorofan nikjua kuna la maana kuumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio flomi mkuu, upande wa kulia ukiwa unavuka tuta la pale stand ya dodoma (shely)Unaongelea Flomi Hotel au?
Neema lodge 15000 kwa 20000Sikumbuki vzr ila ina range kwenye 12-14000 hapa
Hahaha aisee nilivumiliaUlijitahidi hata hivyo ulifika mpaka alfajiri,mimi ningetoka saa 7 usiku na mabegi yangu.
Basi inabidi ujue maeneoHamna sio guest
Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo
Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000
Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka
Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
Basi inabidi ujue maeneoHamna sio guest
Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo
Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000
Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka
Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
Inaitwaje mkuu?!Yaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezeje
Nimejaribu kusoma michango yako nimegundua uko rigid na unafikiri vitu vingi ni constantNa quality inaendana na gharama
Quality ndogo pesa ndogo quality kubwa pesa kubwa ndio iko hivyo siku zote
Ndo maana kuna za bei tofauti lodge ya 15k 20k 30k na kuendelea zenye huduma tofauti kutokana na mfuko wako
Ndo maana mtoa mada anesema anahitaji kuanzia 15k angeweza kusema anataka ya 30k kuanzia ila ameangalia na mfuko wake
Si unajua si wote tuna hali ya uchumi mkubwa au uchumi unafanana
Ndio uzur wa guest inasaidia time management yko iwe sawia pili hamu ya kuwala wahudum inakuwa ndogo maana ni wazee au mdada anaejichubua na mlevi aliekubuhu
Sent using Jamii Forums mobile appuuna experience
10_15-25k?
Bora waseme wengine waha mmezidi jamani🙌Ole wako nikukamate...
cc: Wangari Maathai