Msaada lodge nzuri Morogoro

Msaada lodge nzuri Morogoro

Hahaha mkuu kwanza unaanzaje kulala hapo kama hawakuui si wanakuibia

Sina hamu napo kabisa palinipa Gono si la nchi hii mwaka 2001 ( wengi wenu hapa mkiwa bado katika Zipu za Baba zenu ) na Demu ( Goma ) nililolinunua pamoja na 'Kulitindua' vizuri bado lilijisahau na Kujisaidia Haja Kubwa ( tena ya maana ) pale pale Kitandani na akasepa na kuniachia 'Msala' ambao hata hivyo 'Mtoto wa Mzizima' niliumaliza 'Kidiplomasia' zaidi.
 
Point hapa sio gharama..point hapa ni quality
Na quality inaendana na gharama

Quality ndogo pesa ndogo quality kubwa pesa kubwa ndio iko hivyo siku zote

Ndo maana kuna za bei tofauti lodge ya 15k 20k 30k na kuendelea zenye huduma tofauti kutokana na mfuko wako

Ndo maana mtoa mada anesema anahitaji kuanzia 15k angeweza kusema anataka ya 30k kuanzia ila ameangalia na mfuko wake

Si unajua si wote tuna hali ya uchumi mkubwa au uchumi unafanana
 
Sina hamu napo kabisa palinipa Gono si la nchi hii mwaka 2001 ( wengi wenu hapa mkiwa bado katika Zipu za Baba zenu ) na Demu ( Goma ) nililolinunua pamoja na 'Kulitindua' vizuri bado lilijisahau na Kujisaidia Haja Kubwa ( tena ya maana ) pale pale Kitandani na akasepa na kuniachia 'Msala' ambao hata hivyo 'Mtoto wa Mzizima' niliumaliza 'Kidiplomasia' zaidi.
Kuna muheshimiwa aliibiwaga pesa na bunduki na wale wadada wa pale naskia alipaka dawa kwenye maziwa akamnyonyesha

Pindi enzi hizo npo sua mitaa ya hosteli zetu wami pale na vile karibu tulikuwa tunaponea pale tunapaita fuculty elfu 4000 yako tu

Ila mkuu uliwezaje bila kinga una roho ngumu sana hahah
 
Na quality inaendana na gharama

Quality ndogo pesa ndogo quality kubwa pesa kubwa ndio iko hivyo siku zote

Ndo maana kuna za bei tofauti lodge ya 15k 20k 30k na kuendelea zenye huduma tofauti kutokana na mfuko wako

Ndo maana mtoa mada anesema anahitaji kuanzia 15k angeweza kusema anataka ya 30k kuanzia ila ameangalia na mfuko wake

Si unajua si wote tuna hali ya uchumi mkubwa au uchumi unafanana
Point yangu imetokea neema lodge..uliposrma pako vyema nikakataa..pale ht 8000 unalala
 
Kuna muheshimiwa aliibiwaga pesa na bunduki na wale wadada wa pale naskia alipaka dawa kwenye maziwa akamnyonyesha

Pindi enzi hizo npo sua mitaa ya hosteli zetu wami pale na vile karibu tulikuwa tunaponea pale tunapaita fuculty elfu 4000 yako tu

Ila mkuu uliwezaje bila kinga una roho ngumu sana hahah

Wengine 'HIV' inatuogopa sana Ndugu.
 
Niliwah pishana na wSukuma hapo wanasmell kinyesi kbs...wanalalaga hapo
Hao ni waha sio wasukuma
Hamna sio guest

Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo

Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000

Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka

Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
Logde ya 12,000??? Tafadhali naomba kupelekwa.
Wangari Maathai
 
Patachangamkaje wakati 85% ya 'Waliolala' Usingizi wao wa Milele kule 'Kola' hicho 'Kilichowalaza' na 'Kuwakondesha' kama 'Chelewa' walikitoa katika hiyo hiyo ( hii hii ) Lodge 'Kongwe' Morogoro Mjini Ndugu?
Hivi mkuu ule mkoa na lodge zote zile

Guest kama utitiri

Na hayo machimbo ya starehe ndo usiseme

Eti katika takwimu la hili gonjwa letu eti Morogoro haipo juu sijui inaongoza njombe
Hizi takwimu hatujapigwa kweli
 
Kama kuna Mkoa ambao leo hii nikiambiwa niuteue kuwa Kinara wa UKIMWI ( Solo Gitaa ) Tanzania nzima wala sitochelewa Kuutaja Mkoa wa Morogoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom